Recent content by mimiks

  1. mimiks

    Maajabu ya Wahenga na tiba zao, usipite bila kusoma huenda ikakusaidia na wewe

    Wakati unatafuta dawa jaribu kufatilia hali gani au vyakula gani vinamsababishia. Mimi wa kwangu tokea nimejua vitu vinamsumbua mwaka unaenda wa tatu huu tatizo limepungua unaweza dhani amepona ila bado ipo.
  2. mimiks

    Matumizi ya Oven na Cooker

    Sio kweli. Zipo oven za gas na zina taa ndani. Labda umpe sababu nyingine. Mfano kwangu mimi changamoto halina moto wa juu, juu inategemea moto uzunguke kutokea chini. Ni changamoto kulitumia kwenye swala la kujua moto kiasi gani, ila kadri unavyotumia umazoea kabisa. Mimi la kwangu...
  3. mimiks

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Pole. Take a heart [emoji173]. All will be well
  4. mimiks

    Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

    Sasa watanganyika wawekeze Zanzibari nyie wenyewe Zanzibari mkae kula urojo kweli. Yaani umeandika kabisa unamaliza MB unamsifia mwarabu anavyoendeleza ZnZ na Mtanganyika anavyoshindwa kuwekeza ZnZ bila kusema huyo mzanzibari mwenyewe anakaa upande upi
  5. mimiks

    TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah haya asante kwa huduma
  6. mimiks

    TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    Malalamiko ni mengi nchi nzima hata mkipewa hapa taarifa hakutakua na msaada. Mtu nyumba yake imeisha ila anashindwa kuhamia kisa umeme. Umeme unaombwa utafikiri unatolewa nchi jirani
  7. mimiks

    TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    Kama wako seeious vile kumbe hamna lolote
  8. mimiks

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Aisee huu uzi wake inaonesha dada alikua desperate DESPERATE na ndoa kiasi kwamba alikua anataka hata abebe mimba ya kufosi ndoa kisa aliona mwanaume anaweza kubadilika last stage. Kama ambavyo hakuelewa ushauri aliopewa kule hata huku hatoelewa ni yeye mwenyewe afanye maamuzi tu.
  9. mimiks

    Ndoa inaelekea kunishinda

    Kuna njia mbili tu. Kuamua kuiacha ndoa au kuendelea kuvumilia na kuacha kumfatilia mpaka hapo mwenyewe nafsi itakapo msuta. Ukiamua kuvumilia unatakiwa uwe na roho ngumu. Uende kumpa heshima yake kama mume na huduma zote bila kujali ambacho unakijua kuwa anakusaliti. Ukifanikiwa hilo ndoa...
  10. mimiks

    Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Hizo kesi za kumpa mimba mwanafunzi zimekaaga kimtego sana. Watakachoangalia ni mimba bint anayo, bint ni mwanafunzi au kipindi anapewa mimba alikua mwanafunzi, bint akimtambua aliyempa mimba tu kesi inakua imeisha saa 12 asubuhi. Ubakaji miaka 30.
  11. mimiks

    Mambo muhimu ya mahusiano ya kufahamu kabla ya ndoa

    Pumzika kiongozi. Point zako zimeeleweka kwa aliyetaka kuelewa wala halikuwa somo gumu. Mama D huyo she just had time.
  12. mimiks

    Nalia na Utumishi

    Weka katika size na mfumo wanaotaka. Itakubali.
  13. mimiks

    Kwa yeyote anayefahamu tiba ya P.I.D

    Ungejaribu kubadilisha hospitali. Ungejaribu pia kupata madaktari wazoefu kwenye maswala ya kina mama na uzazi. Unapotafuta tiba usitosheke na maelezo ya daktari mmoja.
  14. mimiks

    Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

    Watu weusi so tricky kuwapodoa sasa ukikuta na sherehe yenye mihemko kama hii basi MUA naye anavurugwa. Angalia harusi nyingi za mihemko bi. Harusi make up huwa haziwakai.
Back
Top Bottom