Kwa yeyote anayefahamu tiba ya P.I.D

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
1,364
2,000
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja na shida moja tu ambayo ni very serious hivyo nitahitaji sana msaada wenu wa kimawazo hasa kwa wale matabibu wa kada zote ...asili na kizungu...!! Wife anasumbuliwa sana na ugonjwa wa pid hali inayompelekea ashindwe kupata ujauzito. Tulipokwenda hospital doctor akampatia dawa lakin hazikumsaidia....katumia madawa karibu ya kila aina lakin wapi...kwa mara ya mwisho akatushaur kwamba mke wangu asafishwe... sasa kabla hatujafikia hatua iyo ya kumsafisha nikapata wazo la kuja umu jukwaan ili nipate japo msaada wa mawazo kwan naamin umu wapo watu wenye uweled wa juu na haya mambo. Naambatanisha matokeo ya vipimo vyake kwa msaada zaid. Naomben sana ....sana ...msaada wenu jaman kwan hii kitu imekuwa ikinisumbua sana sababu nampenda sana mke wanguna nimetoka nae mbali sana. Aksanten nawasilisha.
20211102_205745.jpg
20211102_205827.jpg
 
MzeeMpya

JF-Expert Member
Dec 19, 2019
401
500
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja na shida moja tu ambayo ni very serious hivyo nitahitaji sana msaada wenu wa kimawazo hasa kwa wale matabibu wa kada zote ...asili na kizungu...!! Wife anasumbuliwa sana na ugonjwa wa pid hali inayompelekea ashindwe kupata ujauzito. Tulipokwenda hospital doctor akampatia dawa lakin hazikumsaidia....katumia madawa karibu ya kila aina lakin wapi...kwa mara ya mwisho akatushaur kwamba mke wangu asafishwe... sasa kabla hatujafikia hatua iyo ya kumsafisha nikapata wazo la kuja umu jukwaan ili nipate japo msaada wa mawazo kwan naamin umu wapo watu wenye uweled wa juu na haya mambo. Naambatanisha matokeo ya vipimo vyake kwa msaada zaid. Naomben sana ....sana ...msaada wenu jaman kwan hii kitu imekuwa ikinisumbua sana sababu nampenda sana mke wanguna nimetoka nae mbali sana. Aksanten nawasilisha. View attachment 1996199 View attachment 1996201
Pole kwa kuuguza mwenza wako wa ndani.
Kama imani yako itakuruhusu ninao tiba ya kisuna ya kutatua changamoto za PID imesaidia wengi hata kwa wale waliokata tamaa. Njoo private unipe maelezo zaidi kuhusu hali ya mgonjwa.
 
huku kwetu

Member
Sep 7, 2016
67
125
Pole sana, najua adha ya ugojwa huo. Kama hutajari njoo pm tujadili. Sio biashara, na mm nilikuwa mgojwa wa iyo kitu
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,722
2,000
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania...bila shaka wengi wenu ni wazima na kwa wale wenye matatizo mwenyezi mungu awatie nguvu....!! Ndugu zangu mabibi na mabwana leo hii nimekuja na shida moja tu ambayo ni very serious hivyo nitahitaji sana msaada wenu wa kimawazo hasa kwa wale matabibu wa kada zote ...asili na kizungu...!! Wife anasumbuliwa sana na ugonjwa wa pid hali inayompelekea ashindwe kupata ujauzito. Tulipokwenda hospital doctor akampatia dawa lakin hazikumsaidia....katumia madawa karibu ya kila aina lakin wapi...kwa mara ya mwisho akatushaur kwamba mke wangu asafishwe... sasa kabla hatujafikia hatua iyo ya kumsafisha nikapata wazo la kuja umu jukwaan ili nipate japo msaada wa mawazo kwan naamin umu wapo watu wenye uweled wa juu na haya mambo. Naambatanisha matokeo ya vipimo vyake kwa msaada zaid. Naomben sana ....sana ...msaada wenu jaman kwan hii kitu imekuwa ikinisumbua sana sababu nampenda sana mke wanguna nimetoka nae mbali sana. Aksanten nawasilisha. View attachment 1996199 View attachment 1996201
Mkuu pole sana kwa mke wako kuwa na maradhi ya PID tiba yake ninayo nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mke wako auguwe pole.
 
mimiks

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
1,410
2,000
Ungejaribu kubadilisha hospitali. Ungejaribu pia kupata madaktari wazoefu kwenye maswala ya kina mama na uzazi. Unapotafuta tiba usitosheke na maelezo ya daktari mmoja.
 
Chocolate25

Member
Feb 1, 2021
13
45
Mwambie awe anapasi chupi zake kabla hajavaa, Pid inatesaga sana lkn tumia pasi.. hakikisha chupi anazianika juani na baadae azipasi..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom