Maajabu ya Wahenga na tiba zao, usipite bila kusoma huenda ikakusaidia na wewe

Natamani kujua dawa ya meno kuuma, mba kichwani na ya kudhibiti maumivu ya tumbo la hedhi (wanapata maumivu sana hawa wenzetu sku zao zile)

Dawa ya kukusaidia kama umejikata au umepata 'ki-ajali' cha kukutoa damu au kidonda.. FANYA HIVI.. kata kipande cha ALOVERA pakaza ule ute wake sehemu uliyojikata au uliyopata kidonda baada ya kuumia..

Matokeo..
Kidonda kitakauka ndani ya dakika mbili, damu itakoma kutoka, hakuna bakteria atasogelea kidonda chenye alovera.. kiufupi unapona ndani ya dakika chache.. sharti tu usikilowanishe kwa maji ndani ya siku mbili hivi..

nitarud na zingine.
 
NYONGEZA KUHUSU JERAHA.

SUKARI. Ukiumia ukapata kidonda, weka sukari..hakitaoza bali kitakauka
 
Mwanangu alipata aleji ya ngozi, nikaenda hospitali nikawa nabadilishiwa tu mara cream hii mara tube ile mara hii mara ile.

Miezi miwili imepita ugonjwa unazidi kutapakaa tu.

Nikaona huu utani sasa, nikampeleka upareni huko, akalambishwa na kupakwa ungaunga fulani hivi.

Ndani ya wiki mbili tu ngozi imerudi katika hali yake, kama hajawahi kuumwa vile. Hadi leo zaidi ya mwaka umepita tokea apone.
 
Mkuu nisaidie hiyo dawa hata mie mwanangu tubes na cream zishamtosha na mafuta nishabadili sana
 
Wakati unatafuta dawa jaribu kufatilia hali gani au vyakula gani vinamsababishia. Mimi wa kwangu tokea nimejua vitu vinamsumbua mwaka unaenda wa tatu huu tatizo limepungua unaweza dhani amepona ila bado ipo.
 
Mkuu nisaidie hiyo dawa hata mie mwanangu tubes na cream zishamtosha na mafuta nishabadili sana
Mkuu huo ugonjwa wa mwanangu kule upareni walisema unaitwa kiguma. So akapewa hiyo dawa then ikaleta maajabu chap tu. Ilikuwa mwaka jana.

Kwa sasa nnayo kidoogo imebaki hapa home. Ila kwa dozi kamili wacheki wapare wakuelekeze namna nzuri ya kuipata.
 
Natamani kujua dawa ya meno kuuma, mba kichwani na ya kudhibiti maumivu ya tumbo la hedhi (wanapata maumivu sana hawa wenzetu sku zao zile)

Dawa ya kukusaidia kama umejikata au umepata 'ki-ajali' cha kukutoa damu au kidonda.. FANYA HIVI.. kata kipande cha ALOVERA pakaza ule ute wake sehemu uliyojikata au uliyopata kidonda baada ya kuumia..

Matokeo..
Kidonda kitakauka ndani ya dakika mbili, damu itakoma kutoka, hakuna bakteria atasogelea kidonda chenye alovera.. kiufupi unapona ndani ya dakika chache.. sharti tu usikilowanishe kwa maji ndani ya siku mbili hivi..

nitarud na zingine.
Mkuu meno kuuma tumia ndulele zile unaikata unakamulia kwenye mswaki unasukutulia kwa dakika kadhaa angalizo usimeze ni sumu hta kama jino limetoboka tumia hiyo ,tumbo la hedh atumie majani ya mvugwa analoweka baada ya muda anakunywa akikosa hiyo atumie mizizi ya mpera na miziz ya mbaazi achemshe pamoja hii inarekebesha homon zlizochengana imbalance yan asante

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nisaidie hiyo dawa hata mie mwanangu tubes na cream zishamtosha na mafuta nishabadili sana
huu unga Kuna mti nilioneshwa kijijini kilosa,huo mti magamba yake yanatoa unga mweupe huo unatibu magonjwa mengi ya ngozi,nilioneshwa miti mingi na matunda mengi ambayo hupati huku "town" na ni dawa kubwa Sana...na wamehifadhi hiyo miti na hiyo elimu kwa vizazi na vizazi ,kuna mengi ya ajabu huko..(bahati mbaya nimesahau jina la Kijiji ila kipo kilosa ndani ndani Sana )TANZANIA TUMEBARIKIWA SANA ILA HATUTAONA MPAKA TUTAKAPOACHA KUWA WATUMWA KIFIKRA!!
 
Back
Top Bottom