Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,168
- 4,334
Huku nlipo kumejaa😂Njoo Mama sit iko wazi![]()
Huku nlipo kumejaa😂Njoo Mama sit iko wazi![]()
Hama njoo upunge hewa na upepo mwanana kabisaHuku nlipo kumejaa![]()






Huu ni uongo, nakaribia kutimiza miaka Saba sasa kwenye ndoa na ngoma ndio kwanzaaaaa inogileeeeWhat they say:
Marriage is 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
What they don't say:
Before marriage 🥰🥰
During wedding 🥰🥰🥰💃🕺
Few months after marriage 🙄🙄
One year after marriage 😠😠
Two years later 👹👺
Five years 💩💀⚰️
Duh..Mimi ningekuwa mume wake ningemwambia sameness 7×70.
Yani makosa makubwa saba then na marudio yake yawe sabini.
Kwa.mantiki hiyo mchepuko kosa moja na msg za watu wawili wapya.
1×3 ili ushindwe ndo na kosa lisieux linasameheka inatakiwa 1( kuzini) ×70( wanawake 70 ambao umenifumania) .


Achana nae,hapo sasa jipende wewe mwenyewe na kiumbe ulichobeba,yeye fanya kama haumji Mpikie aleJana nimemsema nimemwambia navumilia tu sababu ya hii mimba Ila sitokufatilia maisha yote tutatumia condom na hapa nawaza kujiepusha na maradhi Bora Mimi nitumie nae condom Kama yeye nje anashindwa kutumia tumlee mtoto maisha yaende siku ziende tujifie yeye akipata ukimwi uko au hata akizaa uko nje atajua na maisha yake vinachosha jamani kupigizana kelele na mtu mzima kila siku
Kama ni upepo mwenzio nipo ufukweni😁Hama njoo upunge hewa na upepo mwanana kabisa![]()
Duh! Asante ushaur wako ngoja niufanyie kaziKwa sasa usifanye nae mapenzi, atakuletea magonjwa utaumia zaidi, na usimuulize kitu chochote kuanzia sasa ingawa najua ndo atapata nafasi ya kufanya ujinga wake.
Kama kweli hataki kukupoteza, ukamnyamazia kila kitu, utaona akiumia mwenyewe, usimjibu tusi lolote kaa kimya akilala nje usimuulize kalala wapi. Kama anakujitaji atabadilika, kama hakuhitaji utaona akifurahia hiyo hali .
Jitahidi umalize miaka miwili tuone, ikishindikana baada ya miaka miwili omba taraka, usijitafutie kifo mwenyewe.
Kuna dada mmoja yamempata kama yako baada ya miezi 7 ya ndoa, mwanzoni mwanaume alikuwa akiomba msamaha, siku wamegombana kwa hasira mme akafunguka.
" kwanza wewe ndo ulikuwa ukilazimisha ndoa kisa umri umeenda mimi nilitaka tuendelee kusomana kwa muda zaidi, miaka miwili ilikuwa haitoshi mimi kufanya maamuzi . ndio na mimi ni mtu mzima ila na fulani nampenda nashindwa kumuacha"
Hapo ndo dada wa watu amejua kuwa hakuna mapenzi, dada ana 34 mwanaume ana 38.
Wiki iliyopita ilikuwa wiki ya sheria , dada alikuja kuomba ushauri afanye nini. Nimesituka nikajua ni wewe ila mwisho nimejua sio wewe naana yeye bado hana mimba.
Kweli ndoa ni ngumu.
Kama ni movie ndio kwanza ipo kwenye ....
”Starring”....“Executive Producers”...”Title”... usijaribu kuvunja ambacho mungu amekiunganisha mkuu!
Nachokiona wewe umeolewa ila ni mgeni kwenye michezo ya mapenzi. Nikutoe hofu tu kuwa wanaume 80% huwa wana cheat ila kwa adabu sana! 20% ndio ambao hawana adabu kwenye cheating wao hawana aibu kuonesha kuwa wana cheat na hawa ndio wabaya sana.
Ukivunja ndoa sababu mume ameku cheat jua uendako pia utachitiwa tu na utakuwa dissapoonted mara mbili! Jifunze kuishi na hio hali kuwa mumeo sio muaminifu na maumivu yakizidi na wewe tafta mtu akugongege kwa siri ili akufariji. Hio ndio namna ya kupunguza machungu ila usiache kumuheshimu mumeo hata ukishaanza kuliwa maana ukiteleza hapo tu utapewa talaka kwa aibu na fedhea. Liwa nje ila usianze dharau na kejeli utakamatwa.


Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Haya mambo ya kulazimisha ndoa ni noma kumbe😂Kwa sasa usifanye nae mapenzi, atakuletea magonjwa utaumia zaidi, na usimuulize kitu chochote kuanzia sasa ingawa najua ndo atapata nafasi ya kufanya ujinga wake.
Kama kweli hataki kukupoteza, ukamnyamazia kila kitu, utaona akiumia mwenyewe, usimjibu tusi lolote kaa kimya akilala nje usimuulize kalala wapi. Kama anakujitaji atabadilika, kama hakuhitaji utaona akifurahia hiyo hali .
Jitahidi umalize miaka miwili tuone, ikishindikana baada ya miaka miwili omba taraka, usijitafutie kifo mwenyewe.
Kuna dada mmoja yamempata kama yako baada ya miezi 7 ya ndoa, mwanzoni mwanaume alikuwa akiomba msamaha, siku wamegombana kwa hasira mme akafunguka.
" kwanza wewe ndo ulikuwa ukilazimisha ndoa kisa umri umeenda mimi nilitaka tuendelee kusomana kwa muda zaidi, miaka miwili ilikuwa haitoshi mimi kufanya maamuzi . ndio na mimi ni mtu mzima ila na fulani nampenda nashindwa kumuacha"
Hapo ndo dada wa watu amejua kuwa hakuna mapenzi, dada ana 34 mwanaume ana 38.
Wiki iliyopita ilikuwa wiki ya sheria , dada alikuja kuomba ushauri afanye nini. Nimesituka nikajua ni wewe ila mwisho nimejua sio wewe naana yeye bado hana mimba.
Kweli ndoa ni ngumu.
Watumishi wa Mungu wenyewe hawa wa mwendokasi?? Usimshauri dada wa watu kwenda kuhadaiwa huko halafu akaombwa na mzigo huko pia.Pole,ushauri wangu hapo usione haya wala nini kuwashikirikisha watumishi wako,hilo jambo litakutesa na usipoangalia litakupelekea kufanya maamuzi ambayo ni ya ibu kuliko hilo la kuficha watumishi wa Mungu.Ndoa bila ya kumtanguliza Mungu mbele ni majanga sana,hakuna rahisi na ukikaa mbali na Mungu wako tegemea maumivu tu...
Sasa mtu ana mimba anaondokaje? Akamtese mwanae af kengine mwanamke akiwa na mimba huwa ngumu sana ku deal naye sababu tunda huwa hana hamu ya kukupa ndio wengi tunaanziaga kuchepuka hapo!Ushauri wako una nguvu za Giza aseeehh!achepukee!two wrong can't make it right man!![]()
Fuatilia vizuri ndugu yangu. Pengine huyo mchepuko aliepigiwa simu anacheza game tu ili amuharibie mwana kwako. Pengine kawapa hao wengine namba ya mwana ili wamtumie hizo msg kichaa wewe uzishike kiwake.Na miaka 28 nina miaka naye mi 5 kabla ya ndoa na alikuwa hayupo hivi mpaka nawaza au kalogwa mbona ghafla wanawake wote hao alafu Bora ingekuwa hata ana muda nao nilivyongea nao wawili kawatongoza mwezi wa 12 mmoja ndo toka mwezi wa 11 yani kinachonishangaza kwanini wote iwe ghafla ndani ya mwezi mmoja
Hivi unakumbuka wewe uliacha kusex maana kunauma? Ulitaka aishije?Simu Mimi ndonilimlazimisha ache nilimwambia kwakuwa ushamwambia una mke na umeomba msamaha tuanze upya simu niachie hakuna tena kumiliki simu ya Siri na nilifanya makusudi ili nijue Kama Kuna wengine Ila sahivi najutia nlichofanya coz naumia hata nikisema nishirikishe wazazi na wachungaji napata wakati mgumu maana najua ni watu wa dini hawatokubali tuachane watafanya juu chini aombe msamaha yaishe mwisho wa siku nitakuwa tu nimejitia aibu kwa kuwaelezea upumbavu wa mme wangu
Ufukwe wa mabanzi ila watu...🤣🤣Kama ni upepo mwenzio nipo ufukweni😁