Recent content by millers

  1. M

    Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    Bora zichelewe wilayani kwetu mchango wa madawati ni sh 5000 mwisho tarehe 2 soo bora zitoke tarehe tatu
  2. M

    Ni kweli Diamond na Zari Wanataka Kuachana? Ni kweli Diamond kahamishia Majeshi kwa Lyn?

    Zari aliambiwa kuhus daimond sasa asishtuke ila nampa pole inaumiza
  3. M

    Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

    Ninamashaka na uyo samaki wako
  4. M

    Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

    Acha uongo wewe kama ulimkuta anaharufu basi ni uyoyo sio wote
  5. M

    Biashara ya samaki

    Jamani naomba kujua utaratibu wa biashara ya samaki wabichi kwa kuwachukua ziwani kwa wale wafanyabiashara wadogo wadogo
  6. M

    Nyumba za serikali kuuzwa bei poa halafu za NHC 40 m

    Bila shaka we ni mwalimu kama mimi sahau kupata iyo nyumba
  7. M

    Chunusi yaua kijana Tanga

    Wenzie alioenda nao kunamtu kafuga ilo dude baharini so wachunguzwe vizuri
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kagera biharamulo nije arusha au tanga wilaya yoyote! Idara ya sec 0764841249
  9. M

    Ushauri kuhusu kununua gari na matumizi ya mafuta

    Navyojua cc inahusika lakini ukiendesha kwa speed ya 80kph unasafiri mbali mno kwa mfano gari yangu ni toyota corolla 100saloon naweka 10,000tzs kwenda km 100 naongeza 5,000tzs kurudi ,alafu pia acceleretor unaguza kwa mbali kama ni automatic kwa manual jaribu sana kutumia low gears kwa mfano...
  10. M

    Naomba kufahamu hili Juu ya " Traffic Camera "(Tochi)

    Kweli ipo kwanza maeneo ya muleba tu bukoba na ushuhuda ipo iko advance ata kuliko za kenya juu iko na kumbukumbu
  11. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo biharamulo karibu na kigoma
  12. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo biharamulo nije rongido au tarime numbre 0764841249 secondary
  13. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo biharamulo nije rongido au tarime numbre 0764841249 secondary
Back
Top Bottom