ElectronicSalim
Member
- Sep 3, 2011
- 48
- 17
Habari wakuu,
Ninapanga kununua gari mwisho wa mwezi huu, ila kuna vitu flan flan bado nahitaji kuvielewa kabla sijanunua hiyo gari.
Kwanza ni matumizi ya mafuta kwa siku,
Pili ni gharama za kununulia gari.
Matumizi ya mafuta,,
Ninaishi kibamba au mbezi Luis na ninafanya kazi tabata matumbi, kuna umbali wa kilometer 25. Bajeti yangu ya mafuta kwa siku ni elf 8 (8,000). Hebu nishauri ni gari gani inayoweza kwenda kilometer 50 kwa lita 4 ? yaani 50km/4L
Gharama ya kununua gari,
Ninachoangalia kwenye gari ni ulaji mdogo wa mafuta, nahitaji gari economical. Naweza kuipata kwa sh. ngapi ? Bajeti ni Mil 4.
Hebu nipeni ushauri wanainchi wenzangu.