Recent content by Mike Mushi

 1. Mike Mushi

  Uchaguzi Marekani

  Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Mag3 Nimependa hii sababu kwanini mpaka sasa Sanders anaendelea na campaign. Why Hillary Clinton isn't pushing Bernie Sanders to exit race - CNNPolitics.com
 2. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Tigo ni kwaajili ya wateja wa tigopesa. Mpesa maelezo yake yapo hapo juu Mkuu, taarifa zako zipo safe. Sidhani kama ushawahi sikia mtu analalamika kuhusu anonymity yake kuvunjwa.
 3. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Tutumie receipt number ili tuweze kuhakiki.
 4. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu, Nitumie receipt number yako
 5. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Wakuu, Kwa Kutumia Credit Card Online. Gold Membership Bofya hapa --- http://bit.ly/14skftw Tanzanite Membership Bofya hapa --- http://bit.ly/19E6itm
 6. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu, Unalipia tuu Gold then tunakuweka mara moja
 7. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu Business No Andika 888888 na reference number andika 1234 Karibu sana Mkuu.
 8. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Kupata kwanza mikataba kwa brand ya JF ili uweze kutuma SMS kwa local service providers ni kazi sana. Shukran sana Mkuu. Tunaifanyia kazi hii na muda si mrefu tutaweka hiyo njia
 9. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Unajua, unaweka kwenda kibanda cha M-Pesa ukamuambia yule msimamizi akutumie hela kwenye number hiyo, Ukampa 1,000 kama gharama yake akakutumia, ukanipa receipt number nikakuwekea premium member na wala nisijue wewe ni mtu gani. Mkuu, Unaweza kwenda CRDB ukadiposit pesa kwenye hiyo account...
 10. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Yes. Unatupa receipt number na kusema jina unalotaka uwekewe premium member
 11. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu, Unaingiza password yako ya M-Pesa. Hakuna kinachoingiliana na password yako ya JF
 12. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu, Motisha hutolewa kwa aina nyingi na si lazima pesa. Sasa kuna njia nyingi mtu ambaye unatoa reliable information unaweza tumia JF na ukapata kipato kizuri tuu. Ukishajijengea profile hapa na jina ambalo watu wataku-identified nalo. Ni rahisi uka-branch na kwenda kuandika katika magazeti...
 13. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu, Hii Njia tunaifanyia kazi na tutatoa update muda si mrefu. Tunaifanyia Kazi Mkuu Yes Inawezekana. Tunafanyia kazi hii. Yes, Inawezekana. Hapana Mkuu, Haiwezekani kwa sasa hivi. Nimepata Email yako Mkuu
 14. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Mkuu, Kama matangazo yangekuwa yanakidhi uendeshaji wa JF tusingefanya hii kitu. Na usisahahu kuna kukidhi uendeshaji na pia lazima kuwepo na uwezo wa kuweza kuiendeleza JF iende mbele zaidi. Bado tunaongea na Makampuni ya simu ili mtu aweze kuwa anakatwa salio kila anapopokea ujumbe kwa wale...
 15. Mike Mushi

  Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

  Nakucheki kwenye PM sasa hivi
Top