Hivi JK anapokelewaje airport za Marekani na nchi zote za G 8?

Mmh hii kali hebu funguka!....unamaanisha Ridhwani anapokelewa ki V-I-P Marekani na kwanini baba yake asipokelewe?

Hebu tuwe makini humu ndani ya JF. Unaweza kutuambia ni nani katoa ulinzi kwa Ridhiwan? Naona hoja hii sasa imefika mwisho. Tulikuwa tunajadili itifaki ya Rais wetu, sasa kaingizwa mwanae, let's be serious guys.
 
Huyu hapa:

IMG_0018.jpg

Naona anaweka koti fresh, kabadirisha Pamba za kirubani kwenye Gari nini?
 
Kwa wingi wa trip za huyu jamaa nadhan kuna wakati ata izo protocol huwa hazifuatwi maana frequence ni kubwa as mnaweza acha mambo yenu ya msingi bure.
Nadhani kuna kipindi huwa anatelekezwa tuu la ndo ivyo anakomaa tuu

Hayo ni mawazo yako, na yanaonesha jinsi ulivyo. Sishangai.
 
Tofauti na bango kubwa airport lililobebwa na wahudumu na mabalozi wa nchi hizo hamna mapokezi yoyote. Yeye ni part of audience kwenye hiyo mikutano then after anapiga picha.
 
Hebu tuwe makini humu ndani ya JF. Unaweza kutuambia ni nani katoa ulinzi kwa Ridhiwan? Naona hoja hii sasa imefika mwisho. Tulikuwa tunajadili itifaki ya Rais wetu, sasa kaingizwa mwanae, let's be serious guys.
Siyo mimi niliyesema hicho kitu...kunamdau fulani kadondoshea hicho kitu hapo juu. Pitia vizuri hizi coment na utaiona
hiyo post. So na mimi nimemuuliza tu ili afunguke zaidi
 
Umewahi kuuona msafara wa OBAMA? Gari nne tu na hakuna amabulance

George+Clooney+Images+Presidential+motorcade+bek6muIpdiHl.jpg

Anapopita Obama barabara husafishwa kama meza ya kulia chakula, hutakuta gari imeegeshwa pembeni kusubiri msafara upite kama tulivyozoea nyumbani Tanzania. Usifanye mchezo na Ulinzi wa Obama
 
Siyo mimi niliyesema hicho kitu...kunamdau fulani kadondoshea hicho kitu hapo juu. Pitia vizuri hizi coment na utaiona
hiyo post. So na mimi nimemuuliza tu ili afunguke zaidi

Pam sorry, but if you see someone is trying to chip in with "stupid" issue, please do not hesitate to educate him/her.
 
Hii suti ni Moja ya zile alizohongwa na yule Mwarabu

Kama ni moja kati ya hizo inakunyima usingizi? Changia hoja na sio matukio bwana. Baadae utataka tujadili mavazi yake na ukatulazimisha tujadili hata nguo zake za ndani. Hebu vitu vingine mwachieni mkewe maana hapa hatujadili kuolewa na JK, unless am wrong
 
Pam sorry, but if you see someone is trying to chip in with "stupid" issue, please do not hesitate to educate him/her.
Hee yamekuwa haya tena!...nahisi unaanza kutoka nje ya mada! au na mimi nikutukane kwa kiengereza?
Kwani wewe ni Silva Rweimamu?
 
Kwa kawaida Rais wa Marekani na viongozi wote wa nchi tajiri duniani (G8) wanapowasili Airport ya Bongo
huwa wanapokelewa zaidi ya VIP....yaani ulinzi unakuwa mkali,mapikipiki ya msafara na magari maalumu ya
msafara hadi ikulu na siku hiyo njia zote za katikati ya jiji huwa zinafungwa kwa mda wa masaa kadhaa.

Sasa swali langu ni -:
Je na Rais wetu Kikwete atambeleapo nchi za viongozi hawa huwa anapata the same VIP service? i mean
mapikipiki ya msafara,magari maalumu kuanzia Airport na njia zao kufungwa kwa mda kupisha msafara wake?
Na hapo airport anapokelewa na nani? Gavana wa jimbo,meya,au Rais wa nchi?

Msaada jamani kwa faida yangu na watu wengine.[/QUOTE

Hii ni kwa Rais yeyote yule anayekwenda kwenye nchi ya kigeni ni razima apate ulinzi + na sehemu ya kufikia kwahiyo kwa nchi kama zetu zikifika kule wanapewa ulinzi na wenyeji wake. kwahiyo mapikipiki airport huwa ni lazima
 
Anapopita Obama barabara husafishwa kama meza ya kulia chakula, hutakuta gari imeegeshwa pembeni kusubiri msafara upite kama tulivyozoea nyumbani Tanzania. Usifanye mchezo na Ulinzi wa Obama
Sawa huu ni msafara wa Obama...sasa tunakuomba ututupie mapicha ya msafara wa Kikwete akiwa huko huko US
 
Hee yamekuwa haya tena!...nahisi unaanza kutoka nje ya mada! au na mimi nikutukane kwa kiengereza?
Kwani wewe ni Silva Rweimamu?

Samahani. Spelling ya kwanza nilikosea. Maana yangu ilikuwa "am sorry" ndio nikakushauri kuwa ukiona mtu analeta hoja ya kipumbavu usisite kumuelimisha. Narudia kusema tena "SAMAHANI". Maana uliniambia kuwa sio wewe uliyosema
 
Sawa huu ni msafara wa Obama...sasa tunakuomba ututupie mapicha ya msafara wa Kikwete akiwa huko huko US

Hakuna mtu huku huwa anasumbuka kupiga picha msafara wa JK, watu wanakuwa busy na kazi, JK huwa tunaenda kumuona jioni baada ya kazi au kama watu wapo off duty on that material day.
 
Sawa huu ni msafara wa Obama...sasa tunakuomba ututupie mapicha ya msafara wa Kikwete akiwa huko huko US

Kwanza naomba nirekebishe. SIO KWELI KWAMBA RAIS OBAMA HUSINDIKIZWA NA MSAFARA WA GARI NNE TU. Usahihi hapa ni kuwa, Rais Obama huwa anapelekwa na msafara wa magari YASIYOPUNGUA tisa (9).
 
CAMARADERIE

Ambulance kwenye misafara ya Obama ipo. Nathani toka kile kipindi cha tukio la Rais Regan imekuwa ikiwa kwenye misafara ya marais wote.

pict125.jpg

pict22.jpg

pict25.jpg

pict44v.jpg

Na inaonekana huku watu wapo kazini kweli kweli

pict41.jpg
 
Back
Top Bottom