Jambo kwa panel ya watts 90 Nunua Battery dry 100 Ah itafaa, Bei kwa sasa ni Tshs 260,000 kwa battery aina ya Ritar japokuwa hiyo sio the best in the market, lakini inafaa kwa matumizi na kwa hali ya maisha. Best ni Victron, Tez, sollartek.......na price ina range kati ya Tshs 400,000 - 450,000.