Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

Mihayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
268
Reaction score
63
Nina swahiba anasafiri mida hii to Mbeya amenitumia SMS kuna basi la Hood limetumbukia Kitonga. Kupata more details wenye ndugu waliokuwa wanasafiri kuelekea au kutoka Pande hizo na Hood tafadhalini fatilieni.

UPDATE;

Basi la HOOD limepata ajali Mlima kitonga muda huu, taarifa zaidi zitatolewa na vyombo Husika.

Mungu waponye na uwape uzima wote
2-18.jpg
3-14.jpg
1-21.jpg
14716305_1315591311806417_3568216052998519161_n.jpg
14713680_1315595455139336_6271253594162151259_n.jpg

IRINGA: Basi la abiria ambalo ni mali ya Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana mchana lilipata ajali na kupinduka katika Mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.

Imearifiwa kuwa, katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa wakipatiwa matibabu.
 
Mmmm, hii kampuni nayo, imekuwa na matukio ya ajali mengi sana, kulikoni!!?
 
Hawa watu wana matatizo gani? Huku Arusha jana usiku Hood ilikuwa inavutwa cheni ikakatika likaingia kwenye baa moja hivi , leo tena khaaaaa
 
Kama ni lile la Arusha basi ni balaa, linakimbia noma, liliwahi kutupita Kitonga na kuyakata magari mengine kila mtu kwenye gari alishika kichwa. Mungu aepushie mbali
 
Ila zile kona afu mabasi yanatembea balaa... Overtaking bila mpangilio yaani vurugu tupu tu pale skuizi..
 
Nina swahiba anasafiri mida hii to Mbeya amenitumia SMS kuna basi la Hood limetumbukia Kitonga. Kupata more details wenye ndugu waliokuwa wanasafiri kuelekea au kutoka Pande hizo na Hood tafadhalini fatilieni.

UPDATE;

Basi la HOOD limepata ajali Mlima kitonga muda huu, taarifa zaidi zitatolewa na vyombo Husika.

Mungu waponye na uwape uzima wote
View attachment 425172 View attachment 425164 View attachment 425166
hizo picha mbona hazielewi hilo basi ndio liko huko bondeni au
 
Back
Top Bottom