Tido Mhando amaliza mkataba wake Mwananchi

Tido Mhando amaliza mkataba wake Mwananchi

Namshangaa sana Tido kwa weledi alionao na alivyo mbobezi ktk fani ya habari anashindwaje kujiari akaanzisha shughuli yake inayohusiana na fani yake ili ajiari mwenyewe?

Jiashangae kwanza wewe ambae unadhani kuanzisha kampuni ni lazima uwe na weledi uliotukuka. Pili watanzania tujifunze kuchangia mada on a " positive perspective"

Jiulize kwanza:
1)Je ni kila mwenye weledi lazima aanzishe kampuni yake? Je kutoa expertise kwenye local industry si namna moja ya kutumia weledi wake?
2) Unajuaje kama under the carpet hafanyi other consultancies - au our blinded perception ni hadi tuone mabango?
3) To my understanding , Tido isnt desparate , sasa unamshangaa vipi wakati amefikia umri wa kupumzika --au mkuu una mawazo mtu atakaa kufanya kazi hadi miaka 90?
 
Mkuu kuna thread nyingine kama hii posted earlier today
 
Tido anakwenda kugombea ubunge Muheza Tanga. ataupata tu maana aliyepo ni wale wale wa kupewa lift na kuomba apige honi.

Anakwenda kuwa Mkurugenzi wa Clouds media na New Habari Companies si unajua zoote hizo zimenunuliwa na Mzee mamvi na Mwenzake King maker wanajiandaa na Kampeni zao za kwenda Magogoni mwaka 2015 ! Jipangeniii
 
Hao staff waliopo hapo wanajisikiaje kuletewa quite a new team of management, hakuna succession plans hapo? au kulikuwa na crisis undercover?
 
Wadau,

Hili ni jina jipya kwa wengi na ni mtu aliyechukua nafasi ya nguli Tido Muhando. Nimjuavyo ni mtaalam wa masuala ya biashara na alianzia historia yake pale chuo kikuu cha Dar es salaam baadae nafikiri alikuwa anapiga part time teaching somewhere then akaingia Cocacola Africa Mbeya Cement na sasa mwananchi.

Nafikiri ataongeza chachu kwa kuleta mbinu za kibiashara wakati wananchi wakipata habari motomoto.
 
Back
Top Bottom