Inakuwajekuwaje mtu aanze na 50000/= hadi awe billionea. Mfano Patrick Ngowi wa Helvetic Solar?

Xperience

JF-Expert Member
Dec 8, 2012
278
51
Kwa ukweli mi ninaona watu wakiwa na biashara kwa muda mrefu lakini hawafikii hapo. Je inakuwaje ndugu zangu?
 
Labda.... Kwa ninavyomjua yule jamaa hana tatizo ktk biashara. Ni msomi. Pia haibi.
 
Hawafiki hapo kwasababu uwezo wao wa kibiashara ni mdogo kiakili, biashara ni professional kama zilivyo professional zingine, na ni kipaji kama vilivyo vipaji vibgine, mbona hujiulizi wangapi wanacheza mpira na hawajamfikia Messi au C Ronaldo!? Wangapi wana drop school for business lakini hawajamsikia Bilgate au yule jamaa wa fb!? Wangapi wanacheza basket ball lakini wahajamfikia Hashim Thabiti!? Wangapi wanaimba hapa bongo na bado hawajamfikia mafanikio aliyopata domo aka Diamond Platinumz!?
Fikiria, tafalari then chukua hatu!
Halafu ukiwa una introduce maada make sure ina kuwa clear watu waelewe si kama ulivyoileta hapa kamvini. Iko nusu nusu na haieleweki sio wote ukiandika Patrick wanajua unamzungumzia nani!?
 
Patric ngowi ana miaka 29 sasa na anaishi arusha,anafanya biashara ya solar,alianzia mbali na alikuwa na ndoto kubwa,anasoma alama za nyakati na kuchukua hatua wakati watu hawajashtukia deal,mfano...akiwa primary sim za mkononi ndo zinaingia akakopa kwa mama yake ambaye ni mwalimu wa primary school pesa kidogo akaanza kuuza vocha wakati hata maduka mengine walikuwa hawajashtukia deal,alikuwa na malengo ya mbeleni sio kupata tu fedha na kuzitapanya,baadae akajichanga akaanza kwenda kuchkua sim china kwa mfuko mdogo tu,bei kule ilikuwa chini sana na ni miaka kama kumi iliyopita,hapo akawaacha watu nyuma tena coz alisoma gap mapema kabla haya maduka ya kariakoo hayajafumuka,break through ikaja alipokuwa china akaona upatikanaji wa bei poa wa solar energy accesories na uhitaji wake kwa jamii ambayo haina hiyo nishati haswa wale wanaotumia simu anazouza,akachangamkia tena deal watu hawajashtukia,deal iliyompa pesa ndefu na kujenga profile ya kampuni yake ni tender aliyokula pale UN ya kusupply solar,ndio mtaji ukakua ghafla na hata mabenk yana jipendekeza kwake akope,simple?....no...inahitaji kuwa sharp sana kuenda na soko na kuwa well informed...jamaa yuko na wakati sana na anatusua kabla wadau hawajashtukia issue,so far kwenye mashule huko vijijni anasambaza solar za hatari,yuko vizuri,cha zaidi najiheshimu sana,hana tamaa za kifala na company za kukimbizana na madem,ingawaje wanamsumbua sana na walianza kumsumbua zamani koz tha guy is extremely handsome lakini anajua anapoenda,usishangae akaingia sehemu kubwa ya uwekezaji mda c mrefu koz mauzo yake tu kwa mwaka ni around billion 16...vijana huu ndio mfano,bila sembe inawezekana!
 
Jamaa anajua anachokifanya aisee na pia Biashara ni kama Rizki huwezi kuilazimisha.

Ni kumuomba Mungu na jitihada tu!
 
big up
 
Usafishaji wa pesa hapo tusifanyane mazuxu. Hebu atuonyeshe project hata moja anayofanya. Haaaaaa
 
Ili ufanikiwe ktk biashara, punguza matumizi yasiyo ya lazima, rudisha sehemu kubwa ya faida katika biashara ili mtaji ukue, kuwa mbunifu na kufanya zaidi ya biashara moja.

Hilo ndilo lililomtoa Ngowi Patrick!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom