USHAURI: Nina uhitaji wa kutumia nishati mbadala

kahogo

Member
Sep 20, 2015
21
36
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn ghara ya mafuta inanishinda. Nimeamua kununua Battery na Inveta ambazo nitazitumia kuchaji kwa kutumia umeme wa tanesco kisha umeme ukizima nitatumia hakiba ya nishati ya umeme wa battery niliouhifadhi. Hivyo naomba mnishauri ni Inveta ya nguvu gani na battery za nguvu gani ambazo zitaweza kunisaidia kuiwasha Incubator yangu kwa masaa 8? Nawasilisha. Asanteni sana
 
Wasiliana na Mionzijua Company Limited 0786148148 au info@mionzijua.co.tz
 
Back
Top Bottom