Recent content by michael mbiti

  1. michael mbiti

    Jinajike ovyo

    Wajinga ndio waliwao ukiona manyoa jua kaliwa, huyo mama anahitaji kufanyiwa cansering halaka lasivyo atatembea uchi kabisa au akapimwe akili, sura yenyewe ya jumapili hiyo,
  2. michael mbiti

    weusi mapajani kwa kina dada

    Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa...
  3. michael mbiti

    Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

    Nape wadau kazidi nitamfananisha na subuffer kama alivyokuwa makamba mzee lakini leo wenye ccm yao kina kikwete, makamba kapigwa kibuti kimya kama maji mtungini, huyu nape kibaraka wa bwana mkubwa atafikia ccm lungu ritashikwa na mwingine nape atabaki mdomo wazi, kwa sasa anajenga na kuongeza...
  4. michael mbiti

    Picha hii inakukumbusha nini?

    Kwakeri kama akifufuka nakukuta akina watoto wa wakubwa wanakula nchi hii wanavyotaka anazimia hapoapo jamani, enzi za mwalimu mwenye pesa alikuwa anaiogopa serikali lakini leo nikinyume wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. michael mbiti

    ticha anayependa kufanya mapenzi na wanafunzi wake wa kike...!

    Kama vipi mtaje cyo kuchonga tu yawezekana ni wewe ndugu ila unajisemesha!! Au unataka awaambukize kale kaugonjwa ka kwenye radio ndo useme?? Kwanza una uhakika huyo teacher amejiunga na huu mtandao wa jf kwamba atasoma halafu ajilekebishe huna mpya wewe usiharibu kulasa zetu bwana ok??
  6. michael mbiti

    HATARI: Tanzania President rejects war, Joyce Banda insists whole lake belongs to Malawi

    Unachikisema kinaniingia akilini upande mwingine serikali inakuwa kama inafanya maigizo pengine usikute danganya toto kwa sababu kuuu moja ili waharibu mchakato mzima wa katiba inayoandikwa kwa sasa, Mbili kama mkikumbuka LICHIMOND Ilizuka bungeni kikaanzishwa kikombe Arusha Roliondo Richmond...
  7. michael mbiti

    Hakuna mwenye uchungu na nchi hii kama hapatakuwepo mabadiliko

    Kaka uko sawa kabisa nakusapoti big uo
  8. michael mbiti

    Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

    Hawa nitawafananisha na africa magaribi kuna mataperi wa hatari kama unabisha ingia netlog hala ujisajili hapo kama ni mwanaume utatongozwa na mabinti wanajiita ni mayatima wanamiliki pesa ambazo ziko nje yanchi nyingie
  9. michael mbiti

    Wapi kuna chuo cha operator catterpilar

    Kaka usiuize kichwa nchi hii ukikosa kihonda morogoro tafuta mtu akufundishe tu mm mwenyewe mchawi wa hayo makatapila balaa c kama haya hapa chini kaka yote napiga mm naitwa operator wa dunia hata ukitengeneza ya udongo ikiunguluma naoperet tu pole sana nitakusaidia kujua caterpiller machine
  10. michael mbiti

    Natafuta Kazi ya Kujiajiri

    kwa nch hii kama hauna mtaji ndugu yangu ni matatizo makubwa sana, kwanza ungesema umesomea nini ili tujue uko upande upi wa elimu yako, pili unahitaji kazi gani kwamaana tunaweza kukuambia twende tukalime kwa mkono nawe hauwezi kulima hebu eleza kidogo ili tujue kwa maana wasomi tupo wengi na...
  11. michael mbiti

    Mwenye Update ya Shortlisted katika Geita Gold Mine

    Hi, wanajamii foru hamujambo mm nawapeni hi tu wadau,
Back
Top Bottom