ticha anayependa kufanya mapenzi na wanafunzi wake wa kike...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ticha anayependa kufanya mapenzi na wanafunzi wake wa kike...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dume la Nyani, Aug 21, 2012.

 1. Dume la Nyani

  Dume la Nyani Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekuwa ni mchezo wa kawaida kwa huyu mwalimu wa kiume..kufanya mapenzi na wanafunz wake wa kike tena wengine ni watoto wa form2..acpojirekebsha 2tamtaja jina lake na shule anayofundsha...kchefuchefu..
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee baba yangu kwanini usimtaje mapema kabla ajawamaliza dada zetu,,

  nangoja umtaaje tafadhali yani amekata mbege yate kichwani
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  yaani bado unamuogopa na kumheshimu na unashindwa mtaja?
  muache awamalize watoto wenu basi
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,776
  Likes Received: 6,542
  Trophy Points: 280
  walimu tupo wengi humu..
  Jiheshimu tafadhali.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  unaandika kama vile JF yote ipo hapo mtaani kwako

  hujasema wapi, shule gani, mwalimu gani nk

  mambaff
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hoja hii ni ya kidaku. Mleta hoja ana bifu binafsi na huyo ticha ama juu ya hao watoto au vinginevyo. Bila hivyo angemtaja jina na shule na mahali alipo. Laiti angeficha majina ya watoto kwa sababu ni kinyume cha sheria ingeingia akilini. Vinginevyo hata kama asemayo ni kweli, ameshindwa kuja na hoja inayoingia akilini. Je mtoa hoja anaogopa kutaja jina ili mhusika asimtaje naye wote wakamwaga mtama? Tatizo hapa ni mfumo mbaya ambapo walimu kuanzisha shule za msingi hadi chuo kikuu wanatumia mamlaka yao kueneza miwaya. Watoto wakipaga mimba rais wenu badala ya kuwashughulikia hao wahalifu anasema ni kiherehere chao. Namna hii kweli tutafika?
   
 7. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 663
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  mmmh! Huyu bilashaka atakuwa mbeya hanalolote la kweli, kwanin asimtaje? Hana hata sifa zakuwa mwanajf, walimu 2po weng we vp bana!
   
 8. michael mbiti

  michael mbiti Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama vipi mtaje cyo kuchonga tu yawezekana ni wewe ndugu ila unajisemesha!! Au unataka awaambukize kale kaugonjwa ka kwenye radio ndo useme?? Kwanza una uhakika huyo teacher amejiunga na huu mtandao wa jf kwamba atasoma halafu ajilekebishe huna mpya wewe usiharibu kulasa zetu bwana ok??
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Anasema humu utafikiri huyo ticha naye ni member. Inakuwaje kama sio member? Halafu kitu kama hicho unategemea atajirekebisha? Naona tunafanya maisha kama mchezo wa kuigiza wa sanaa za kaole.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  'anamheshimu' mhalifu anaewadhalilisha binti zake
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Na hilo linawezekana Tanzania tu The Boss.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nyie ndio kama chadema mnasema mna majina ya watu alafu hamyataji...au kama unaogopa kutaja mwenyewe ni PM mimi nitayaweka majina yake hapa
   
Loading...