weusi mapajani kwa kina dada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

weusi mapajani kwa kina dada

Discussion in 'JF Doctor' started by yoyo, Aug 27, 2012.

 1. y

  yoyo Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hvi unaezaje kuondoa weusi juu ya mapaja kutokana na msuguano wakati wa kutembea ama mchubuko....advice..
   
 2. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  niliambiwa ukiwa unavaa skintait inasaidia lakini sioni hata matokeo
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,105
  Likes Received: 10,459
  Trophy Points: 280
  Uliambiwa huo weusi unamadhara?...

  Kama vipi tumia carolite.
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  weka picha tukusaide please.......!
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huo weusi sio kwasababu ya kutemba ni FUNGUS hizo, tafuta dawa yake!!
   
 6. michael mbiti

  michael mbiti Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa kwa wagogo basi au kondoa!!!!!!!!!!!!
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Umeangalia na wengine kwao kukoje? Yaweza kuwa ndio maubile yako!
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sababu ya weusi inatokana na msuguano wa mapaja wakati wa kutembea (friction), ukiwa unavaa shorts, wenyewe wanaziita spanx inasaidia sana. Mimi nimeona matokeo hayo lakini uwe unavaa bila kukosa labda wakati wa kulala tu, ukiizoea mwenyewe hutaiacha maana hutahitaji underskirt.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hujui kuna watu wanavaa vimini na shorts..
   
 10. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Nina hakika upo chini ya miaka 17. Hili sio jibu la mtu mzima na kama wewe ni mtu mzima familia yako ina hasara kubwa.
   
 11. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,024
  Likes Received: 8,512
  Trophy Points: 280
  Msuguano wakati wa kutembea?...!!
   
 12. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Huyu kweli mtoto ,umepatia haswaaa.Anaona raha tu kuandika hata kama hana point.
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  acha kuropoka!...
  muelewe mtoa mada!
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hata wewe unaunga mkono hili jibu la ki-IDIOT?
   
 15. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  aaaaarrrrgggghhhh!
  ivi shule za sekondari hamjafungua bado!?
   
 16. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #16
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  naona unatengeneza MASHUDU!
  wewe ni fangasist?...
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mwenzio ana matatizo tunajaribu kumpa ushauri, wewe unaleta masihalla na afya za watu!! Acaha utoto,jaribu kukua.
   
 18. m

  maswitule JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha 17, mmezidi na nyie mbona weusi mzuri huo au unaongea kitu kingine.
   
 19. M

  Mnyaluhala. Senior Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unataka kupiga puchu nini!
   
 20. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante mpenzi,ngoja na mimi nizitafute izo spanx
   
Loading...