Kinana sio mjinga mpaka azunguke kila mkoa pasipo maslahi..unadhan atazunguka kila siku ? ngoja washinde urais uone atakachofanyiwa kinana utakaa chini ulie kwa jins nchi wanavyoitafuna nchi
Serikali haina hela ki ukweli..si mlisikia juzi tu hapo waajiriwa wapya wa halmashaur serikali imewarudsha nyumban kwa kukosa cha kuwalipa..TUMESHAFIRICKA #
Inafikia muda nataman nabii yeyote wa Mungu aje nimwambie yangu ya moyon yanayonisibu kuhusu utawala mbovu uliopo nchii unagawa kaz kindugu , ufisad wa wazwaz , viongoz wake ni waongo na wazandiki wakubwa , wanaiba na kutumia rasilimali za nchi watakavyo...MIE MTOTO WA MKULIMA NIENDE WAPI...
yale yale ya KIBWETELE nyie jamaa imani zenu kali sana !! siku mtu ataambiwa ATEMBEE JUU YA MOTO NA HATAUNGUA..WAPUMBAVU WATAAMINI " mungu alipotugea akili alikuwa na maana yake "
Hivyo ndo yesu alivyotufunza ,kutoa maneno ya kebeh pindi unapokwazwa ?? anajitamba ametembea nchi zaid ya 53 zinahusiana vp tuhuma zilizopo..ndo kusema yeye ametembea sna kulko wengine ? ama yye ndoana ana hela sana !!
Hilo si la kushangaa uingereza ni miongon mwa nchi za mwanzo kuruhusu ndoa za jinsia moja na kama haitosh yapo makanisa ya catholic yanafungsha ndoa hzo paspo na shaka yyote..hao ndo waingereza bhana Sir ni cheo kikubwa sna uingereza lakn Elton john anaitwa "sir" japokuwa ameolewa na m.me mwenzake
Hilo swali lako lipo ki-imani zaid..kma wwe ni mkristo refer kwnye bible ama muulze pastor wako but kma ni muslim jbu ni simple tu coz uki-refer kwnye Qur-an Mungu anasema ,"nimeumba majini na b/damu ili tu wapate kuniabudu"..kwa mana hyo atakaefuata hayo maamrisho bhas atapata makaz mema...
kwan Tz inamuhitaj mfanyabiashara ama kiongoz bora,muadirifu na mwenye elimu..huyo mboe aende akaongoze wachaga wenzake wafanyabiashara na sio watanzania ambao bado tunafuta nafuu ya utawala biashara zake zinahusiana vp uongoz we unampromote ili aje kutuibia vzur kma hawa wenzao ccm
Inapendeza sana kozi tunapeana mioyo ya kuamini ktk kila jambo but inafikia muda unaweza kukufuru Mungu ukahsi kama haoni juhud zako , nasema hivyo kwa sababu mmi ni mhanga wa hayo hadi sasa naona elimu yangu haijanisaidia nimekula sna maharage mabovu shule za bodying nikitegemea mwisho wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.