Je, CCM inastahili kupewa muda tena?

Je, CCM inastahili kupewa muda tena?

Nikuongezee mdogo wangu, JK ndiye aliyewafungua kinywa wapinzani na wakaweza kupumua na kupiga makelele , enzi ya mkapa si wange ufyata mkia . JK is very democratic. Lakini wangoje tuu, ajaye hana mchezo nadhani keko itajaa
NI udogo wa akili tuu na mbinu za kijinga za kuietete CCM/JK Kwani upinzani ulianza lini na Tangu uanzalipi Ma issue ya CCM hayafunguliwi, na wapi walijiuzulu wenyewe mapema kuliko sasa.Enzi za nyuma nao mawaziri walijiuzulu bila kubisha ktk TV km wanaoamua bishana na Jk hadi baraza la mawaziri livunjwe.JK ni kwamba ana bahati mbaya kakuta Ratiba ya CDM imefikia kufumua CCM, na hivyo apende asipende CDM wangefanya wanayofanya.Mkapa aliwakuwata CUF wakiwa na shida ktk mipangilio ,CUF wakiwa wachumba na wakiwa na mamluki yanayochukua amri Lumumba.ILa CDM ni another Breed.
 
Kwani sasa hivi zipo kwako?Kima nyie mna shida...hata mkipigwa nyundo hayo mabichwa hayawezi process chochote.

mimi kima halafu wewe ni mtu mwenye akili nyingi sana hakuna shida, umefurahi sasa? sina nafasi wa kubishana na psy tulia ikuingie vizuri.
sisi wananchi wapiga kura tumeamua kukipa chama cha mapinduzi miaka mingine 10 😛eace:
 
mimi kima halafu wewe ni mtu mwenye akili nyingi sana hakuna shida, umefurahi sasa? sina nafasi wa kubishana na psy tulia ikuingie vizuri. sisi wananchi wapiga kura tumeamua kukipa chama cha mapinduzi miaka mingine 10 😛eace:
Unadhani shida ni kura ?Ndio maana nakuita Kima kwa sababu unadhani ujinga unaondika ni sahihi na kila mtu lazim aufuate.Kima nao huwa wanakula mahindi na ndizi halafu wanadhani kupanda juu ya miti kunawapa kinga na haki ya kula kila wakitana na kufukuzwa ni mchezo.HATA MAJAMBAZI/WABAKAJI,WAUAJI NA WENGIEN NAO HUWA WANAWEZA PATA KURA NA WATETEZI MAHAKAMANI.Hembu kajifikirie vizuri kabla hujaja leta Monkey Buiness hapa.Unajiliza km vile wewe ni victim kumbe ni victimize r.
 
Yaani mpaka unaandika title hii inaonekana una tatizo kubwa

Ningekuwa Mbowe au slaa ningeishakutimua zamani sana

Inajulikana tangu miaka 20 iliyopita CCM na rais wake yeyote wanatakiwa kutoka nje wawapishe wengine

nyie hamna strategy za kuiondoa CCM, mna strategy za kupambana na ACT tu,

ebu jitambue kwanza
 
Yaani mpaka unaandika title hii inaonekana una tatizo kubwa Ningekuwa Mbowe au slaa ningeishakutimua zamani sana Inajulikana tangu miaka 20 iliyopita CCM na rais wake yeyote wanatakiwa kutoka nje wawapishe wengine nyie hamna strategy za kuiondoa CCM, mna strategy za kupambana na ACT tu, ebu jitambue kwanza
Teh teh: Wewe na mwigulu na makima wengine wa CCM mngepotez ahata muda wa kuelewa hii footer yako kutoka kwe mwehu mwenzio Malcolm-X,Hapa kawazidi sana wenzie.[strong]You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X[/strong]
 
JK ameleta maendeleo makubwa hajatokea rais yeyote zaidi yake tangu Uhuru...

Barabara za lami zimeongezeka...umeme unawaka...shule kibao n.k n.k we mwehu useme nini dunia ikuelewe?

JK ni moto wa Kuotea mbali...

Tatizo lenu mnataka kusifia wale mlokuwa na nasaba nao kiimani lakini Mkae mkijua JK jembe

Mkuu usibishane na hilii jamaa..... hili jamaa ni chizi kuliko Matola kwa povu tu huyu mtu ni bingwa
 
Last edited by a moderator:
Hao akina Jasusi ndio akili zao zilipoishia hapo, fursa zilizopo Tanzania hawazioni, wanafikiri fedha yote inatengenezwa kwa crime tu.
Muulize Ridhiwani katengenezaje pesa yake kwa kuishi kimjini mjini. Mnitukane kelb wahed ukweli unabaki pale pale.
 
Hakuna kitu cha kijinga nilichowahi kukisikia kama hicho. Hivi fursa zilizokuwepo Tanzania wewe huzioni?

Kila kitu kikubwa na kizuri tunachokiona sasa hivi kuna watu wa sampuli yako wanasema "cha Ridhwan", na mijitu kama wewe mnaamini bila kupima wala kufikiri.

Tanzania ya leo imefunguka na ni land of opportunities, vast opportunities, ukiziona na ukiwa mfatiliaji, unalala masikini unaamka tajiri.

Binafsi nimetumiwa email na taasisi ya funds za Uingereza ambayo inatafuta "projects" za kufanya na pesa zipo tayari tena za Serikali ya Uingereza, haina longo longo wala hiyana, unachotakiwa uwe tu kwenye hizo field walizoainisha.

Nawashangaa sana, jana nimeona kipindi cha Pasco Mayala kuhusu VETA na nikafurahi sana nilivyoona wanavyojuwa kutumia fursa, kusikia makampuni ya nje yanakuja kusini kwa mambo ya Gas, wameleta mpishi kutoka Europe wamempeleka huko huko Mtwara kuwafundisha wapishi na wanafunzi kupika vyakula ambavyo kwa wale wazungu watahisi kama wako nyumbani na wameshapata kazi ya kuwalisha wazungu wa kampuni za gas.

Fursa kama hizo zipo kibao, uko wapi wewe? umelala doro.
 
CCM itazikwa rasmi 2015,imeshindwa kuwatumikia watz zaidi ya kushibisha matumbo yao tu
 
Kelb wahed.
 
Kelb wahed.

Naam, hoja imekuingia, usingetokwa povu namna hiyo.

Ukiona mtu anaacha hoja na anaanza kutukana ujuwe umemshinda kwa hoja na haina haja ya kuendelea nae mnakasha kwani kishajijuwa, ndipo kiwango chake kilipoishia.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Naam, hoja imeniishia lakini hamjanijibu Ridhiwani katajirikaje kimjini mjini? Aliahidi matreka 40 katika vijiji vya Chalinze.
Hela hizo kazitoa wapi ambapo tunajua hajawahi kufanya kazi yenye mshahara mnono? Kelb wahed
 
Una macho lakini hayaoni una masikio lakini hayasikii, hivi wewe fursa zilizopo huzioni?

Isitoshe, Ridhwan kama mbunge na Mtoto wa Rais ana fursa kubwa sana ya kuchangisha wadau kumpatia matrekta, si lazima zitoke kwake mfukoni. Fikiri ikiwa chadema, wanasiasa uchwara, wanaweza kuchangisha mabilioni kwa "wafadhili" wa ndani na nje ya nchi mpaka kufikia kununuwa magari kibao, mapikipiki, helikopta. Hivi kwanini Rizwan ashindwe kuchangisha trekta 40? ni mipangilio tu.

Hizo trakta alikwambia zinatolewa kwa fedha yake au bure? hizo trekta 40 anahakikisha anafanya mipango ili zipatikane, kuna mikopo ya kilimo kwanza au hujui hilo? kuna funds kibao zinangoja wenye kuziona na kujuwa kutumia fursa.

Ndiyo maana nakwambia mtu kama wewe huwezi ziona fursa za halali zilizojazana Tanzania, mpaka waje Wachina, Wahindi, Wakenya na wengineo kujichukulia bureeee, wewe umeshafikia kiwango chako cha muono - huoni mbali, kwa hiyo umeshafikiri na imeshakujaa kichwani mwako kuwa huwezi fanikiwa mpaka uwe "criminal", huko ni kuishiwa na mawazo.

Nimekujulisha huko juu fursa za fund ya Uingereza, kajichotee, kuna 30 million pounds zilizotoka ni less than 1M pounds so far zilizopata wenye kujuwa fursa zilipo, ukiyahesabu hayo ni mabilioni ya Tanzania yanatafuta wenye kujuwa kuzitumia fursa.

Ewe punguani, kama unataka nikuoneshe ziko wapi, inabidi uje kwa heshima na adabu?
 
Inafikia muda nataman nabii yeyote wa Mungu aje nimwambie yangu ya moyon yanayonisibu kuhusu utawala mbovu uliopo nchii unagawa kaz kindugu , ufisad wa wazwaz , viongoz wake ni waongo na wazandiki wakubwa , wanaiba na kutumia rasilimali za nchi watakavyo...MIE MTOTO WA MKULIMA NIENDE WAPI NIMEMALIZA DEGREE BUT CJUI HATA CHA KUFANYA ,NIPO TU KWENYE USAHILI WANAWAWEKA WATTO ZAO , Aah !!
 
Hujakuwepo wakati wa utawala mbovu kwenye hii, sasa ttuna tuzo za utawala bora za Kimataifa unajuwa tulipotoka? foleni ya sukari kutwa nzima, kilo wiki moja kwa kaya nzima, huo ndio ulikuwa utawala mbovu.
 
Kwenda zako na historia ya kishenzi huko. Miaka 50 ya uhuru feki rasilimali za nchi zinauzwa nje na mafisadi na wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi halafu we unatetea upumbavu hapa! Wanyamapori na meno ya tembo na simba pamoja na madini husafirishwa nje ya nchi na mafisadi vigogo, we unasema nini hapa!
 
Una macho lakini hayaoni una masikio lakini hayasikii, hivi wewe fursa zilizopo huzioni?

Isitoshe, Ridhwan kama mbunge na Mtoto wa Rais ana fursa kubwa sana ya kuchangisha wadau kumpatia matrekta, si lazima zitoke kwake mfukoni. Fikiri ikiwa chadema, wanasiasa uchwara, wanaweza kuchangisha mabilioni kwa "wafadhili" wa ndani na nje ya nchi mpaka kufikia kununuwa magari kibao, mapikipiki, helikopta. Hivi kwanini Rizwan ashindwe kuchangisha trekta 40? ni mipangilio tu.

Hizo trakta alikwambia zinatolewa kwa fedha yake au bure? hizo trekta 40 anahakikisha anafanya mipango ili zipatikane, kuna mikopo ya kilimo kwanza au hujui hilo? kuna funds kibao zinangoja wenye kuziona na kujuwa kutumia fursa.

Ndiyo maana nakwambia mtu kama wewe huwezi ziona fursa za halali zilizojazana Tanzania, mpaka waje Wachina, Wahindi, Wakenya na wengineo kujichukulia bureeee, wewe umeshafikia kiwango chako cha muono - huoni mbali, kwa hiyo umeshafikiri na imeshakujaa kichwani mwako kuwa huwezi fanikiwa mpaka uwe "criminal", huko ni kuishiwa na mawazo.

Nimekujulisha huko juu fursa za fund ya Uingereza, kajichotee, kuna 30 million pounds zilizotoka ni less than 1M pounds so far zilizopata wenye kujuwa fursa zilipo, ukiyahesabu hayo ni mabilioni ya Tanzania yanatafuta wenye kujuwa kuzitumia fursa.

Ewe punguani, kama unataka nikuoneshe ziko wapi, inabidi uje kwa heshima na adabu?

Kinachonisikitisha Mimi ni kuwa tuna wabunge walio bungeni kwa muda mrefu; Hawajawahi kufanya hiyo mikikati ya kuwapatia wananchi wao nyia bora za kilimo yaani TREKTA

Inamaanisha hakuna loopholes zozote - Yale Matrekta ya KILIMO KWANZA yamedoda na hawajui waanzaje; Hayo matrekta hayafai ARDHI ya SAHARA ya hapa nchini lakini wataalamu walikwenda na wa hayo matrekta kuja but still Yameonekana hayana viwango vya kushughulikia ARDHI ya nchi yetu... Pesa wemezichota

Ni Aibu hizo trekta watazileta zikiwa na wajenzi tofauti sababu OUR VISION kutoa hayo matreka sio kulima ila show off
 
Hivi kwanini huanzi wewe kuleta matrekta yenye ubora, si unajuwa hayana ushuru? unangoja nini?

Wenzako wanaleta kila siku na yanauzika au nikuoneshe kampuni za mtrekta ujionee? wewe kaa kulalamika hutaki kutumia fursa ya kuleta yenye ubora uujuwao wew, unachekesha kweli kweli. Fursa hiyo unailalia.
 
Back
Top Bottom