Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

Kuna mwl huku kwetu kila akiingia class wanafunzi humsaimia peopleeeeeeeees- poweeeeeeeer.
 
Kinana sio mjinga mpaka azunguke kila mkoa pasipo maslahi..unadhan atazunguka kila siku ? ngoja washinde urais uone atakachofanyiwa kinana utakaa chini ulie kwa jins nchi wanavyoitafuna nchi
 
"Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" Mwalimu J.K. Nyerere.

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya" Benjamin Mkapa.

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa" Jakaya Kikwete.
 
Mkuu Unacho Sema Nikweli Lakn Naona Kibarua Chako Unataka Upande Nyasi,,huku Niliko Wilaya Moja Mbeya Ambayo Ni wilaya Kubwa Kuliko Zote Mbeya Anako Tokea Mlugo Walimu Wa Seko Ndari Watano Walisimamishwa Kazi Mwaka Unaisha Sasa Kwa Kuendesha Propaganda Za Cdm Pia Katika Wilaya Hiyo Nimarufuku Mwalimu Kavaa Nguo Zakaki Zinazo Fanana Na Gwanda Za Cdm ,,ukitaka Uachishwe Kazi Ama Kuhamishwa Kituo Cha Kazi Katika Wilaya Hiyo Sifia Chadema Maafisa Watafika Shulen Kila Siku,pia Walim Kama Wanne Waliamishwa Kwa Sikumoja Nakupelekwa Jimbo Lingine Kutokana Na Kusifia Cdm ,mkuu Ukweli Wako Huo Unaweza Kuwaweka Walimu Hatiani ,pia Walimu Wanaweza Kutazwa Kufundisha Masomo Ya Uraia Hatimaye Waka Pewa Wazee Wa Ccm Wa Fundishe ,jichunge Sana Mwl Usie Na Nyuma Wala Mbele Kuchanganya Siasa Na Kazi Nikama Kuchanganya Mafuta Namaji,
 
Utafiti unaonyesha kwamba walimu walioshindwa kazi ( kama huyo habari ya mujini na wenzake wanaofahamika ) , hubakia kujikomba kwa viongozi wa magamba ili waweze kujikimu , inashangaza sana kwamba wako tayari kupika chai lumumba kuliko kufanya kazi waliyosomea !

Bora kupika chai lumumba kuliko kuhujumu elimu ya nchi hii...!
 
Back
Top Bottom