Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

We dogo ucwe mpuuz kwanza nenda ulikopata acha tamaa me ninamiaka 7-sina kaz na maomb natma kila day na cjapata na deal na ujacliamal sa we unataka kuchezea kaz hay utazibua vyoo mtaan bila vifaa shauri yako
 
Umezungumza kweli ndugu Vmemo ving sana mi hata sina tena tumaini najua hawawez kuzuia riziki yangu japo itacheleweshwa tu
 
Duh! Kweli aliyenacho ataongezewa na asiyenacho hata kile kidogo atanyang'anywa, ila KAMA HIPO HIPO TU!
 
Inapendeza sana kozi tunapeana mioyo ya kuamini ktk kila jambo but inafikia muda unaweza kukufuru Mungu ukahsi kama haoni juhud zako , nasema hivyo kwa sababu mmi ni mhanga wa hayo hadi sasa naona elimu yangu haijanisaidia nimekula sna maharage mabovu shule za bodying nikitegemea mwisho wa siku mambo yatakaa sawa..lakni wapi nimeishia kukaa na vyeti vyangu tu ndan !! WORLD IZ NOT FAIR
 
Jamani kwa tetesi nilizopewa na kigogo mmoja anayefanya uhamiaji ni kwamba vimemo ni vingi sana hadi haijulikani kama hata watoto wa maskini watapa nafasi.

Ushauri, kwanini serikali kwa idara kama hizi za ulinzi wasipeleke usalama wa taifa wafanyie watu usaili, nakumbuka nilifanya interview moja pale fire kwa nafasi ya sagenti ila baada ya kutoka tu, vijana walikuwa na majibu hadi nikashangaa.

Sijawahi kuona kwa maana ndio ilikuwa interview yangu ya kwanza.

Mwisho nahuzunika sana tena sana, naililia nchi yangu, nalia sana kwa kuona sisi watoto wa maskini tunasoma kwa shida, tunamaliza kwa shida na kuwa na malengo ya kukomboa wazazi wetu walioko vijijini, then ajira nayo tunatafuta kwa shida zaidi ya shida nilizopata kipindi nasoma.

NAUMIA SANAMKOMBOZI WANGU SIO ELIMU TENA KWANI HATA YENYEWE HAINIPI UWEZO WA KUJIAJIRI

pole usikate tamaa jipe moyo safari hii inaeza kuwa ni zamu yako kuajiriwa
 
Ndugu yangu tulikuwa wote kwenye ile interview, Mimi ilikuwa tarehe 17/04/204!

Serious mimi niliwabamba wanafanya discussion ndio nikaokotea pale maswali.....
 
Ndugu yangu tulikuwa wote kwenye ile interview, Mimi ilikuwa tarehe 17/04/204!

Serious mimi niliwabamba wanafanya discussion ndio nikaokotea pale maswali.....

ivyo umeitwa kazini au umetoswa? siulizi kwa ubaya ila nataka kujua kweli kuna kujuana ama na bahati inahusika
 
Back
Top Bottom