Recent content by mhinakifua

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Fr Babu wa Ngarenaro Arusha afariki dunia

    R.I.P Father, tutakukumbuka sana wana Arusha na waTanzania wengi tuliopitia mikononi mwako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lengo la kunywa pombe

    Kwamba lazima Unye hapo mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: UVCCM Arusha sio shwari, mapigano makali ofisi yafungwa kwa nguvu

    Mkuu vipi tena mbona unajichanganya? "kujakubali" ndio nini? Umejipiiinda kumsahihisha mwenzako kumbe duuu!
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye 'serious'

    Wakuu sina shaka hii post ni ya Apr 2013, ninaona michango mpaka ya 2016 lakini mleta mada kama katoweka vile. Basi tuwe makini kama hatoi mrejesho yawezekana kesha olewa zamani na watoto wawili au zaidi, tuwe makini mna umiza vichwa mwenzenu yupo full shagwe. I submit.
  5. M

    JamiiForums Tanzania .........Sad........Abanwa na Kichwa cha Scania na Kufariki Papo Hapo

    Lusajo1 mkuu nimetoka kapa, say it again.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Justice For Mnyika

    Mkuu tupe taarifa kwa kina kidogo mh anasumbuliwa na nini? Kwanza nina mpa pole na nina muombea kwa mwenyezi mungu amponye na amuondolee maradhi yanayo msumbua.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya nyumba

    Kuwa serious unapo hitaji msaada ndani ya jukwaa hili, acha mambo ya kish****oga, unapewa muongozo lakini unakomaa tu na maandishi yako ya kingese pyuuu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wakanusha kuchukua posho, wataka zifutwe kabisa kama serikali inabana matumizi kweli

    Mkuu issue hapo swali la " wanao kataa waseme siiiooooo " inaitwa akidi, hiyo lazima itapita.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisamee mke wangu,ni pombe tu iliofanya hayo yote

    Nsanzu ndio maana sasa anajutia, tumpe support kwani kisha jitambua ndio maana wanasema "some stories should remain untold" samehe saba mara sabini. Mkuu nenda kamuangukie wife mfungue ukurasa mpya. Wishing u guy all da best.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ana michepuko mingi

    Sometimes mamito jifunze kuwa msiri mambo ya ndani kauka, usituadithie. Ndoa yataka uvumilivu aliye wekwa ndani kapendwa zaidi. Vi genye vingine vita isha tu then mtalea familia yenu kwa raha ajabu. Wana sema " some stories should remain un told" rudi kwa hubby wako no one is perfect ma dia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Joto la Asubuhi (Hando, PJ na Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa na Barbara)

    Judi wa Kishua! Mbona umeji mix au umeandika kichina? Maana duuu ok poa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Mkuu jamaa anakupiga nao nini, hadi umwagikaji wa manii unaushuhudia, kama wewe ni ke naomba ni samehe. Kama ni vise vesa duuuu umependa baby msuguo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

    Mkuu hawezi sasa, kwani "hakuna namna" tumuache tu maumivu yataisha polepole.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Maswali mengine ni ya kitoto mno mkuu, tambua kuwa u rais hiyo ni taasisi. Tufikirishe basi akili zetu na tuachane na u "spoon feeding" I submit.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wakuu Mbinga walazimishwa kuwapa maafisa fedha za Magufuli

    Mkuu ndio ule usemi usemao "Penye udhia penyeza rupia" walisema pesa walio tumiwa ni kidogo sana na haitoshi kwa kuendeshea shughuri mbalimbali za kitaaluma mashuleni, baada ya miezi minne tu kupita, wameanza kuzigombania duuu, kweli Mh. Magufuru kazi ipo maombi yana hitajika.
Back
Top Bottom