Mume wangu ana michepuko mingi

Mume wangu ana michepuko mingi

Wandugu habrn za kazi.

Niende kwenye mada

Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.

Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.

Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.

Na sina haja ya kuolewa tena.

Nawasilisha.
Mume wako ni wa mwendokasi
 
Leo ngoja nikuache kimia kimia niongeze baraka maishani...maana nilichotaka kuandika hakiandikiki
 
Kama umeshindwa kumfanya asitamani nje, tegemea kusaidiwa.

Nyinyi mmeolewa then mnatoa mchezo kwa maringooo, mnalalamikaaaa.... Sasa kama kiu haijaisha unategemea nini?

Mtaitishe kitandani mpaka a upepo tu hatotoka nje maana nguvu zote zitakuwa zimeishia kwako
 
Sometimes mamito jifunze kuwa msiri mambo ya ndani kauka, usituadithie. Ndoa yataka uvumilivu aliye wekwa ndani kapendwa zaidi. Vi genye vingine vita isha tu then mtalea familia yenu kwa raha ajabu. Wana sema " some stories should remain un told" rudi kwa hubby wako no one is perfect ma dia.
 
Wandugu habrn za kazi.

Niende kwenye mada

Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lkn tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.

Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lkn sikuwauliza kitu, juz tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lkn yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta ktk kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.

Nilichoamua ni kuachana nae kbsa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.

Na sina haja ya kuolewa tena.

Nawasilisha.
tumechoka na mada zako za kutungatunga kila kukicha.........leo uongo huu kesho uongo ule!!!!!!!!!!!!!!
 
Ila niweke ukweli.. majina mengi ya Monica tabia zao ziko kushoto sana.. simsemi mleta mada, naweka kiujumla.. Wenye majina ya Monica ni wauza nyapu sana.. kila mwanamke nimjuaye jina hili ni mama huruma sana..!!

Back to topic...!!

HUYU MWANAUME KWA DUNIA YA LEO HAKUFAI...!! Utaumia sana dunia ya leo ukiendelea nae..!!
 
wewe huko bar ulikomkuta na rafiki yako ulifuata nini?
 
Back
Top Bottom