Justice For Mnyika

Justice For Mnyika

John Mnyika ni mmoja wa vijana wazalendo hakukubaliana na ujio wa fisadi Lowasa ndio maana walimtupia ugonjwa wa Amnesia!

Mnyika ni kama toi chadema kwa sasa hana la kufanya zaidi ya kumsikiliza Mbowe kwa kinyongo!

#bringbackourMnyika
 
Pambaneni kwanza na JK akabidhi chama kwa Pombe siyo msubiri msaidiwe na Gwajima.
 
John Mnyika ni mmoja wa vijana wazalendo hakukubaliana na ujio wa fisadi Lowasa ndio maana walimtupia ugonjwa wa Amnesia!

Mnyika ni kama toi chadema kwa sasa hana la kufanya zaidi ya kumsikiliza Mbowe kwa kinyongo!

#bringbackourMnyika
Lumumba kumbe mlikuwa na kinyongo na JK kung'ang'ania chama baada ya Gwajima kufyatuka ndiyo mkapata nguvu ya kutangaza tarehe ya mkutano!!
 
Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi
Anayebisha akaulize waliokuwa viongozi wa CHADEMA jimboni kwake Monduli.
 
Huyo Mwalim ni msaliti namba moja ina maana amesahau yale Lowasa aliwatenda wana IFM?
 
Mnyika anaumwa wakuu.... Tumuombeni, kwa sasa anapoteza kumbukumbu
 
Hata zitto alitamba ngwe ya kwanza lakni miaka 5 mingine akawa mkimya MTU ambaye hajawai kwenda likizo ni Tundu Lisu tu
 
Mnyika anaumwa wakuu.... Tumuombeni, kwa sasa anapoteza kumbukumbu

Mkuu tupe taarifa kwa kina kidogo mh anasumbuliwa na nini? Kwanza nina mpa pole na nina muombea kwa mwenyezi mungu amponye na amuondolee maradhi yanayo msumbua.
 
Chama cha siasa ni watu wenye interests ambazo LAZIMA ziwe zinashabihiana.

Sasa kama yeye katofautiana na wenzie bado anafanyaje huko?

Anatakiwa ahojiwe na chama chake aulizwe kama bado yuko nao au la kama akisema yuko nao apewe jukwaa awaambie watanzania kuwa Lowassa ni mtu makini,muadilifu asiye na doa.

Akishindwa,atimuliwe mbona Slaa,Zitto wameenda na watu wamesahau tayari.
 
LUMUMBA wamefurahia sana uzi huu..... ulicho andika ni tetesi badilisha title.... vipi kwani mnyika hawez ongea au post mawazo yake? Je kakutuma wewe umsemee? Je akija hapa na akakanusha kwamba ulicho andika si kweli itakuwaje??
 
Wewe unafundisha watu unafiki? Unataka wote wawe kama Mbowe?.
13445642_1246878805324607_230643040285053931_n.jpg

Chama cha siasa ni watu wenye interests ambazo LAZIMA ziwe zinashabihiana.

Sasa kama yeye katofautiana na wenzie bado anafanyaje huko?

Anatakiwa ahojiwe na chama chake aulizwe kama bado yuko nao au la kama akisema yuko nao apewe jukwaa awaambie watanzania kuwa Lowassa ni mtu makini,muadilifu asiye na doa.

Akishindwa,atimuliwe mbona Slaa,Zitto wameenda na watu wamesahau tayari.
 
Chama cha siasa ni watu wenye interests ambazo LAZIMA ziwe zinashabihiana.

Sasa kama yeye katofautiana na wenzie bado anafanyaje huko?

Anatakiwa ahojiwe na chama chake aulizwe kama bado yuko nao au la kama akisema yuko nao apewe jukwaa awaambie watanzania kuwa Lowassa ni mtu makini,muadilifu asiye na doa.

Akishindwa,atimuliwe mbona Slaa,Zitto wameenda na watu wamesahau tayari.
Itafahamika tu, umenena vema mkuu kama ameshidwa kwenda na matukio aondoke.
Hakuna mkubwa zaidi ya Chama, inshu ya msingi iliyopo ni kupigania Demokrasia issues za Mafisadi ni Outdated.
 
Mnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.
Mh! wee nawe mbona mnyika anavaa pete ya ndoa ina maana anavaa bosheni? lakini hata kwa muonekano wake siku hizi anaonekana kama mtu mzima fulani hivi anayepikiwa nyumbani na sio mla kwa mama lishe na Mahotelini,jaribu kuulizia utaambiwa lakini kuna uwezekano mkubwa ameshavuta jiko,sula la elimu sina nnacho jua kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom