Lengo la kunywa pombe

Lengo la kunywa pombe

Bia raha sana, inakupa wasaa wa kutafakari kwa kina hasa kama unakunywa chache ambazo hazitoi ufahamu. Pia inakupa muda wa kusubiri muda wa kulala ufike na ni sehemu ya kustarehe ppia.
 
Inakukutanisha na watu ambao kwa njia ingine huwezi kukutana nao. Deal nyingi zinapangwa Bar.
Pia walevi wanapendana sana na kuaminiana kuliko wasiolewa.
Nirahisi mlevi kumkopesha mlevi mwingine kuliko hawa wanaoishia fanta/Molases
 
Natamani sana kunywa pombe, ajabu nikiwa na marafiki zangu nikiwaambia leo nataka niaze kunywa pombe wote wananiambia usidhubutu, acha usijaribu na wakati huo huo wao wanaagizia pombe. Mwisho tusiokunywa pombe tunadharauliwa sana na wahudumu wa bar sijui kwa nini.
 
Pombe ni lishe,kinywaji na chakula kinachopendwa sana na mamilioni ya wanadamu duniani kote.

Mtu anapokunywa pombe,humsahaurisha (kwa muda) na matatizo, msongo wa mawazo, madeni, shida, unyonge/upweke na kujiona yeye yupo juu ya mbingu na nchi.Mlevi/mnywaji hujiona yeye ni yeye, yeye ni raia namba moja hapa duniani. Wengi hupenda kunywa pombe nyakati za jioni.Kwa hapa Tanzania, pombe hunywewa zaidi ya soda.

Kuna ambao wakinywa pombe,huanza kuongea kiingereza mpaka kichina...na kuna ambao hugeuka mabondia!

Pombe humkumbusha mtu mambo mengi ya zamani na huleta hisia kali. Pombe huleta ujasiri.

Japokuwa pombe huleta hasara kiuchumi, imekuwa n vigumu sana watu kuacha/kupunguza pombe. Na mara nyingi wanywaji wengi hubajetia pombe toka kwenye mishahara (vipato) vyao,hata kama mshahara/kipato kiduchu namna gani.

Kwe wanaotumia pombe, unafikiri nn lengo la kunywa pombe?

Nawasilisha.
Mhhh hebu ngoja nifike kwa Mangi nipige tatu nikirudi nitakujibu
 
Natamani sana kunywa pombe, ajabu nikiwa na marafiki zangu nikiwaambia leo nataka niaze kunywa pombe wote wananiambia usidhubutu, acha usijaribu na wakati huo huo wao wanaagizia pombe. Mwisho tusiokunywa pombe tunadharauliwa sana na wahudumu wa bar sijui kwa nini.
1478528870308.jpg
pole sana mkuu kwa sisi tunaokunywa pombe hivi ndivyo tunavojisikia baada ya bia kadhaa
 
kuna kiwanja kipya tabata bia zake tam sana
 
Haaaa haaa hii kitu ni kweli iseee, niliwahi kuishi Songea, pale town kuna pub inaitwa Vijana pub… yaani bila kunywea pale nilikua naona utamu wa pombe unapungua
Mkuu huku Arusha kuna bar inaitwa Night Park hapa mianzini...

Bia za Night park kama sijui wanatengenezea wapi.....

lazima ninye bia hapo hata kama nipo 20km away n
 
Nilikuwa darasa la saba nilichanganya konyagi ya kienyeji Na soda siku iyo nilicheza mziki mpaka basi ... Niko chuo nikanywa viloba Kesho Yake nikashindwa kufanya practical sikuingia darasani .. Niko kitaa maisha hayajakaa sawa niligegena bamedi kavukavu nikampa mimba.. Final nilikunywa bia tatu nikaruka hewani kwa binti aliyekuwa ananizengua ki mausiano siku iyo English ilipanda kuliko maelezo tukaanzia pale sasa ivi ndo mama watoto .... Ushauri kunywa kwa kiasi kwa ajili ya usingizi Na kubadilishana mawazo Na wenzako ....
 
Aiseee usiache kunywa pombe maisha yako yote....
 
Mkuu huku Arusha kuna bar inaitwa Night Park hapa mianzini...

Bia za Night park kama sijui wanatengenezea wapi.....

lazima ninye bia hapo hata kama nipo 20km away n
Haha sisi tunaita M.at.ak# bar sahvi hapa parking ni tatizo barabara inapanuliwa. Karibu mkuu tena.!
 
Daaaah! Bado sijaanza kunywa nikianza nitaleta mrejesho ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom