Natafuta mume aliye 'serious'

Natafuta mume aliye 'serious'

Mwana jeshi anakufaa naona atakuwa serious na mkakamavu sana.
 
Mimi niko siriasi kabisa kama hujapata mme niko tayari kuwa nawe hebu kama unakubali sema nikupe namba tuchat wasap
 
dada kama hufanyi kazi, nani anataka goli kipa? maisha magumu siku hizi ni kusaidiana, nakutakia kila la kheri ila kukushauri tafuta kwanza kazi, mume utampata huko huko
Ukiona hivo ujue njia zote zilishashindika na iliyosalia ndo hii. Tumwombee
 
Ukiona hivo ujue njia zote zilishashindika na iliyosalia ndo hii. Tumwombee
Nasisi wanaume tumezidi kukimbia majukumu yetu.hivi kazi ya mke nikukusaidia majukumu hayo au kukuhudumia nakulea watoto?kama hana kazi na ukiona unataka afanye kazi mpe mtaji au mtaftie wew.lakin hii yakutaka wazazi wajifunge mkanda kusomesha akianza kazi ndo uoe ule kilain itokeeetu ila mwanaume kamili hicho kisiwe kigezo
 
1469105917137.jpg
 
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.

Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.

Kama uko interested ni Pm
Picha inbox
 
Duuh!!!yaan huna kazi ,unamtafuta mwenye kazi ya maana!mtu kapiga msuli ,kakesha alafu wew unataka kwenda Kula tu ndoroooooboooo wew!!!tafuta kwanza vyako naamn hata huyo mme atakaekuoa hautampenda kwa kuwa interests zako ni hela na hauna hofu ya Mungu maana ungekuwa nayo usingetafuta mme kwenye mitandao ya kijamii
 
Dadaangu hongera kwanza kwa kuwa na shahada moja japo hukusema nishahada ya nini..... Nikupongeze pia kwa kutumia jf kutafuta mume aliye thabiti.... Lakini najua mawazo yako ni mazuri sana japo wengi waliyotoa maoni yao kuhusu wazo lako.....
DADAANGU, mimi nataka nikusaidie kupata kazi kama upo tayari ili mume utakaye mpata muweze kuendana, kama unashahada ya elimu kazi ipo uwe mkufunzi wa chuo cha ualimu. Grade IIIA. Na diploma. Kama upo tayari ni sms kwa namba hii 0785931455 au nitumie barua pepe kwa anwani hii. emanuelbwire@gmail.com

ninania nzuri sana. Ubarikiwe
Hongera sana Kaka kamà kweli hicho ulichokisema ni cha kweli na hapo ndio tutajua kamà kweli anamtafuta mme au hela na anshitahitaji kukudhalilisha au lah!!!
 
Dadaangu hongera kwanza kwa kuwa na shahada moja japo hukusema nishahada ya nini..... Nikupongeze pia kwa kutumia jf kutafuta mume aliye thabiti.... Lakini najua mawazo yako ni mazuri sana japo wengi waliyotoa maoni yao kuhusu wazo lako.....
DADAANGU, mimi nataka nikusaidie kupata kazi kama upo tayari ili mume utakaye mpata muweze kuendana, kama unashahada ya elimu kazi ipo uwe mkufunzi wa chuo cha ualimu. Grade IIIA. Na diploma. Kama upo tayari ni sms kwa namba hii 0785931455 au nitumie barua pepe kwa anwani hii. emanuelbwire@gmail.com

ninania nzuri sana. Ubarikiwe
Arusi ni lini mkuu.?
 
Wakuu sina shaka hii post ni ya Apr 2013, ninaona michango mpaka ya 2016 lakini mleta mada kama katoweka vile. Basi tuwe makini kama hatoi mrejesho yawezekana kesha olewa zamani na watoto wawili au zaidi, tuwe makini mna umiza vichwa mwenzenu yupo full shagwe. I submit.
 
hili litakua ni likahaba lakujiuza kueni makini mtalizwa
 
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.

Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.

Kama uko interested ni Pm

njoo pm
 
Ndani ya mwezi mmoja miaka imepungua kutoka 28 hadi 26

Halafu mbona husemi kama una mtoto mkuu?
 
Kwani kazi ya maana ni ipi!?
Yaan huwa nawaza hii mentality ya wadada kutaka vilivyokuwepo tiyari sijui waliitoa wapi na sijawahi kupata jibu kabisa.Ndugu yangu pambana huyo mume mtakutana tu hukohuko kwenye misoto,haya mambo ya kutaka huyo mume adondoke tu kama embe hayapo dunia hii.
 
Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo.

Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35.

Kama uko interested ni Pm
Najua sina sifa kama hujapata plz hebu nicheki nikusaidie...!
 
Kweli mapenzi ajira mi sina vyeti wacha nikae pembeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom