Hao ni mfano tu. Kwa maisha yetu ya bongo hapa inakua ngumu kidoog kuishi kama hao. Umemka asubui umeme hamna, ofosini bosi mbogo, folini barabarani, mara mshahara umechelewa, mtoto anaumwa, mara gari bovu halafu fundi anakuletea uzushi, wazazi nyumbani wanataka msaada, ni wangonjwa...n.k...