Ukweli kuhusu waliomuua Raisi Laurent Kabila wa DRC

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wanajamii,

Habari za masiku? Well nilipotea kidogo kutokana na majukumu ya kikazi...!

Sasa nimerudi na hii video. Hebu angalia hii video upate ukweli wa undani kuhusu waliomuua Laurent Kabila wa DRC. Utapata kujua ni kwanini vita huko DRC havitakaa viishe milele yote...! This is an investigative report that was financed by Aljazeera ili kupata ukweli wa hali halisi...!

Kweli baada ya kuangalia hii video nimefunguka macho 100%. It is so so sad, but it is necessary to know the truth...!

YouTube - ‪Murder in Kinshasa‬‏
 
Shida iliypopo ni nani hasa na motive gani behind the scene...but in simple analytical conclusion,the whole thing looks like an inside job masterminded by the CIA(americans) and their power(wanuka njaa) hungry Congolese generals,intelligence and government officiials
 
From all indication CIA walihusika kama muuwaji alikuwa na business card ya CIA agent hapo watabishaje hawakuhusika? Hata Rwanda hata kidogo haiwezi kujitetea katika hili. Utashangaa Sweden walivyo wanafiki, naona wauwaji wapo Sweden wanakula Bata.
 
Kutoroshwa jela kwa kina Col Marindi na kuokomea kusikojulikana ndio haswa kimenifanya niamini CIA wanahusika hapa.
 
Back
Top Bottom