Hivi vitu vya ukweli sana....

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
16
BEI SAWA NA BURE PM

BlackBerry-Bold-9700.jpg



nokia-n8-official-1.jpg

 
mbona unaongea kwa mafumbo? Weka vitu bayana...! Zinauzwa shilingi ngapi na zainapatokanaje? Au unataka kututapeli?

Kwanini tuku-PM wakati umeweka hadharani? Ungeweka kwa PM kama ulikua unataka kufanya siri. Agrrrrrrrrrrrr
 
si mahali pa biashara ndugu yangu... ukifanya hivyo watu watahama...ebu peleka hii kwa michuzi aweza kusaidia kwa hili.
 
Mkuu toa maelezo ya kutosha kuhusiana na bidhaa ulizozionyesha!!
 
Hiyo nokia n8 kuna magumashi kibao za kichina wameandika made in finland. Hazina function hata moja ya nokia n8. Muonekano ni copy kabisa lakini ukiingia kwenye function zero.
 
Hiyo nokia n8 kuna magumashi kibao za kichina wameandika made in finland. Hazina function hata moja ya nokia n8. Muonekano ni copy kabisa lakini ukiingia kwenye function zero.

ukifungua box ukakuta ni ya kichina na sio Hungary or Finland ruksa kuacha hasara kwangu kwa box lililofunguliwa. karibu.
 
ACHENI KUBABA IKA NYIE HAKUNA KITU HAPO NI JUST COPY FROM KWA JAMAA WAKUFANANA ANGALIENI WABONGO TAMAA MBELE MAUTI NYUMA EBU HIZO PESA BORA TUENDE KULE LOLIONDO KWA BABU
cONQUEST-BONGO MUFILISI:A S 13:
 
Back
Top Bottom