size of a man vs. size of the shoes

Ms Judith,

umenzisha thread then ukakimbia. Anyway, ngoja nikupe something relating to your thread.

Kuna research moja ilifanyika pale Harvard University ambapo walijaribu kuangalia size of the shoes of the CEO and some of the world largest corporate leaders whether there is a correspondence/relationship (causality) between the size of the Shoes and the Leadership.

Waligundua kwamba ni kweli kuna relationship between the size of the shoes and leadership kwasababu waligundua kwamba viongozi wengi wanavaa viatu ambayo ni almost the same size na cha ajabu zaidi waligundua kwamba viongozi wengi wanamiguu mikubwa kuanzia size 44 na kuendelea.

So kwa mujibu wa reserch hiyo ambayo pamoja na mambo mengine waliangalia makampuni makubwa duniani na size za viatu vya CEO wao na kugundua hayo kwamba wengi wana miguu mikubwa na hivo wanavaa viatu vikubwa. So kuna relationship between size of the shoes and successful corporate leadership. According to the research
 
samahani jamani,

kuna katuni ilikuwa inaonyesha JKN amevaa viatu, kisa akawavulia AHM na kisha BM vikawa vinapway hadi tumbo linataka kuingia kwenye viatu na mwisha alipovidaka JMK, hapo ndio myacheka hadi kuvunja mbavu. kwa vile miguu ilikuwa midogo sana, akawa anajaribu kuvaa kichwani kama kofia, lakini alipoona vinamfunika kichwa akavigeuza, akajitwika kichani ikawa kama kabema mtumbwi. it was very fun. nimeshindwa kuattach picha. kama mnaweza kunisaidi nitaacttach namna gani, nitashukuru

Glory to God
 
Ms Judith,

umenzisha thread then ukakimbia. Anyway, ngoja nikupe something relating to your thread.

Kuna research moja ilifanyika pale Harvard University ambapo walijaribu kuangalia size of the shoes of the CEO and some of the world largest corporate leaders whether there is a correspondence/relationship (causality) between the size of the Shoes and the Leadership.

Waligundua kwamba ni kweli kuna relationship between the size of the shoes and leadership kwasababu waligundua kwamba viongozi wengi wanavaa viatu ambayo ni almost the same size na cha ajabu zaidi waligundua kwamba viongozi wengi wanamiguu mikubwa kuanzia size 44 na kuendelea.

So kwa mujibu wa reserch hiyo ambayo pamoja na mambo mengine waliangalia makampuni makubwa duniani na size za viatu vya CEO wao na kugundua hayo kwamba wengi wana miguu mikubwa na hivo wanavaa viatu vikubwa. So kuna relationship between size of the shoes and successful corporate leadership. According to the research

hahah, hiyo research kiboko!

hivi kulingana na hiyo research, watu wafupi kama kawawa (RIP) au chiluba nao wanavaa size 44 ya viatu?

hahah , very fun

NB:
thanks Mhafidhina kwa kuokoa jahazi, mie picha iliniigomea kuattach

stay blessed

Glory to God
 
nimeshindwa kuattach picha. kama mnaweza kunisaidi nitaacttach namna gani, nitashukuru
Glory to God

Ok, let me try to help...
Katuni Feb 9.jpg
 
Ms Judith,

umenzisha thread then ukakimbia. Anyway, ngoja nikupe something relating to your thread.

Kuna research moja ilifanyika pale Harvard University ambapo walijaribu kuangalia size of the shoes of the CEO and some of the world largest corporate leaders whether there is a correspondence/relationship (causality) between the size of the Shoes and the Leadership.

Waligundua kwamba ni kweli kuna relationship between the size of the shoes and leadership kwasababu waligundua kwamba viongozi wengi wanavaa viatu ambayo ni almost the same size na cha ajabu zaidi waligundua kwamba viongozi wengi wanamiguu mikubwa kuanzia size 44 na kuendelea.

So kwa mujibu wa reserch hiyo ambayo pamoja na mambo mengine waliangalia makampuni makubwa duniani na size za viatu vya CEO wao na kugundua hayo kwamba wengi wana miguu mikubwa na hivo wanavaa viatu vikubwa. So kuna relationship between size of the shoes and successful corporate leadership. According to the research
Sample ya hiyo research inatoka wapi? Ni kuhusu Marekani, Japan au Africa? Mimi nadhani maumbile ya watu pia huendana na size ya viatu. Kwa hiyo watu wenye maumbile madogo ya kimwili, vilevile miguu yao ni midogo. Naamini kuwa Wajapani wana maumbile madogo, kwa wastani kuliko Wamarekani, hivyo size zao za viatu kutofautiana. Vile vile Wachina, na, kwa mfano Waafrika. Mfano halisi ambao unanitokea mara kwa mara siku hizi ni kuwa size yangu ya viatu ni 43. Lakini siku hizi nikienda kununua viatu, nikichagua 43 havinitoshi, ni 44 ndio vinanitosha. Mimi ni mtu wa makamu sasa na niliacha kukua zidi zamani sana, hivyo suala kwamba nimeongezeka ukubwa wa miguu halipo. Nilichokuja kugundua baadae ni kuwa viatu vingi siku hizi vinatengenezwa China na sehemu zingine za Asia ambapo wana maumbile madogo, na hivyo kuwa na miguu midogo vilevile. Kwa hivyo kule kwao namba 43 ni 44. Hivyo hiyo research sample labda ni ya Marekani, na haijumlishi hali halisi ulimwenguni pote.
 
Back
Top Bottom