Natafuta gari RAV 4 au Suzuki kuanzia mwaka 2000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta gari RAV 4 au Suzuki kuanzia mwaka 2000

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mhafidhina, May 3, 2012.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajamii nawasalimu...!

  Ninatafuta gari ya kununua aina ya RAV 4 au Suzuki ya mwaka 2000 na kuendelea...! Iwe kwenye hali nzuri....! Nitapendelea kama muuzaji atakua hapa Dar es Salaam...!

  Naomba uni PM au unitumie namba yako ya simu ili nikupigie endapo unayo...!
   
Loading...