Taarifa kuhusu hali ya maisha na Utulivu wa Tanzania

Hivi inaweza kuwa ni violation of copyright iwapo utaikopi na kuipaste hapa kwenye jamvi? Pengine itawasaidia magamba kuelewa ukweli kuhusu Tz. Maana kuna watu humu kama akina Faiza Foxy, wanaamini kwamba Tanzania ni salama sana. Na kuwaona wanaopingana na mitizamo yao kama wachochezi.
 
Endeleeni na uchochezi lakini ni budi mkumbuke hakuna amani mbaya wala vita nzuri.


Kusema ukweli ni uchochezi? Kwani wewe huoni mabadiliko?
Zamani tukikamata mwizi kama hakuna kituo cha polisi karibu tulikuwa tunampeleka kwenye ofisi ya CCM, siku hizi nani anaweza kuthubutu kumpeleka mwizi kwenye ofisi ya CCM? Do you know why? watu wanawasiwasi kuwa huko ndiko kuna wezi kwenyewe. Si uchochezi, na wanaosema wajivue gamba wanajua wanachosema
 
  • Thanks
Reactions: Aza
nimeipitia na mimi, yaliyoelezwa ni kweli kabisa. Especially when it comes to arguements to establish a common ground on issues.
 
Duh! Hii report ni ndefu kweli na ninavyowajua watanzania wachache sana wataisoma kama nilivyoisoma mimi mpaka mwisho. Yaani alichoandika huyu mwandishi ni kweli tupu, hajaongeza chumvi wala kupunguza. Sasa kazi kwetu, kunyoa au kusuka.
 
Back
Top Bottom