Recent content by Mhache

  1. Mhache

    Kwa mazuri haya, utawezaje kuing'oa CCM madarakani?

    Hakuna wa kuing'oa CCM mwaka huu. Perhaps baadae, kwani wapinzani ni walewale. Hawana jipya.
  2. Mhache

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Huyo mdada wa kazi umemwonea. Huo ni unyanyasaji wa wasichana wa kazi. Kwa nini usingemwita na kumpa elimu kuliko kumfukuza. Halafu navuaje nguo na kuziweka kwenye kifaa cha nguo chafu bila kutoa vilivyoma. Ulaaniwe and ardhi ikumeze. Mkeo anafanya kazi gani? kwa nini asikufulie nguo zako...
  3. Mhache

    Mke wangu hunitega na kujilengesha

    Si mwizi wala nini? Ila wanawake wengi wapo hivyo. Ni soni kama walivyosema wengine.
  4. Mhache

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Mpaka umefikia kiwango hicho cha elimu Kuandika CV huwezi? My organization inatoa elimu kwa mpunga mdogo kufundisha uandikaji wa Cv. Tuwasiliane.
  5. Mhache

    Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

    Hao wadada wa kichaga umewalinganisha na kabila gani? Na ni vizuri ukawa wazi kwenye vigezo ulivyotumia kutoa maamuzi hayo yasiyo na mashiko.:sick:
  6. Mhache

    Usipohonga yakikukuta usilalamike

    Eti utanipa wakati wa kutafuta mtoto. Kaa nacho au urudu kwenu.:msela:
  7. Mhache

    Nmb bank house kielelezo cha uvivu na wavivu

    NMB ni kero kwa kwenda mbele. Wanafikiri bado wapo wenyewe "monopoly".
  8. Mhache

    Pesa za EPA, na leo ni pesa za RADA kurejeshwa nchini

    Nimejiuliza mengi kuhusiana na hizo fedha zinazorejeshwa serikalini bila kupata jibu la matumizi yake. Je hizi fedha zinatumika kwa shughuli gani au kwa manufaa ya nani? Isije ikawa zinaingia mifukoni mwa wachache wajanja. Kama ndio hivyo sioni haja ya kuzirudisha nchini. Naomba mwenye kujua...
  9. Mhache

    Je, Kwanini wanawake wa kizungu wanavutiwa kimapenzi na wanaume wa Kimasai?

    Wewe mangi unaona ufahari kuwala wazungu wa Kijerumani? Huo sio urijali wakati huu wa gonjwa hatari la ukimwi. Kwanza umetoka nje ya mada.
  10. Mhache

    Ananitekenya kwenye kiganja kila tukishikana mkono!

    Kama damu inakimbia chaaaaarrrr!! au inaenda mbio, utaachaje kujua anachotaka nini? Mwombe machine uitekenye, acha utoto.
  11. Mhache

    Nahitaji vifaranga wa kienyeji

    Ndugu wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimefurahishwa sana na watu wanavyojishughulisha na ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji. Mimi nimenza mradi huu kama miezi mitatu sasa. Nina kuku watano (mitetea) na jogoo mmoja. Umbo la kuku wangu ni dogo. Ninaomba kama kuna mtu mwenye vifaranga/kuku wa...
  12. Mhache

    Fijili ( celery )

    Great thinkers' FIGILI ni nini?:A S 465:
  13. Mhache

    Kutoka na usaha kwenye uume

    I wonder, wakati huu sio wakati wa kwenda peku. Utakubali raha ya dakika moja iharibu maisha yako. Stay with one partner ikishindika use condoms. Pole kaka. Umeoa, kama ndio, wife umemwambia? Kwa heri, nilikuwa napita.:bange:
  14. Mhache

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimefurahishwa nawe, kama uwezo upo, naomba unitumie data base yako.
Back
Top Bottom