RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Dah! Huyo Mimi ndo nampenda, mwanamke WA kunitega, yaani popote pale akinitega naua, iwe chumbani, sebuleni AMA jikoni. Tamu kweli hiyo aisee ya kutegwa.
ntakujibu kesho, sahivi niko bize dodoma
Hakuna noma boss, nilikuwa sijui kama ukishaoa bado unaomba.
TUnza siri za ndani, hukwenda mafundisho ya ndoa?? hukufundwa kuishi na mke?? huna hata haya...
Ndoa ni sacred and privacy is the way
Mbaff
nadhani wewe ndio jinga kabisa!! Kwani mtoa mada mnafahamiana wapi? He has just remained anonymous hivyo hakuna siri yeyote iliojulikana hapo. Acha kukariri kipumbavu na kuropoka ili tu na wewe uonekane umepost!!
duuh! Yaani wewe ndio akili moja! Sasa ulikuwa unatufikiriaje? Ulidhani tunabaka tu.....
Mke wako anatabia za kimalaya. Mle jicho
Kwamaana hiyo utakuwa siku zote unambaka,kwasababu hakuna siku aliyotaka yeye,au?