Ananitekenya kwenye kiganja kila tukishikana mkono!

BAGAH bana...

Ukute we ndiye unamtamani huyo mama,hadi unaimgine anakutaka,na unaimagine anashindwa kukwambia... Pole lakini... Ndiyo mwisho wa u-teen huo..
 
BAGAH bana...

Ukute we ndiye unamtamani huyo mama,hadi unaimgine anakutaka,na unaimagine anashindwa kukwambia... Pole lakini... Ndiyo mwisho wa u-teen huo..

hahaha...
wewe utaguswa sehem ya mwili wako ucshtuke???
kama ni u-teen acha uendelee mpaka mvi...
 
Muulize ana maana gani au hata kuuliza unaogopa?

yani akinishika af akitabasamu...hata kuuliza nashindwa...
ila nimeshaelewa sasa katavi..
anataka nimchape nao eeh?
 
kwenye hii ofc mm ndio mdogo...
kuna maza cku hizi cmuelewi...
kila tukishikana mkono...
anaukwaruza kwaruza na kucha...
huku akicheka
damu yangu inakimbia chaaaaarrrr!!
ana maana gani??
na niitikie vip stimulus kama iyo aisee!..

Hilo limaza likoje?kama nene jeupe na lina stimulus package ya kutosha hapo chini ya mgongo piga hilo dogo..!
 
Hilo limaza likoje?kama nene jeupe na lina stimulus package ya kutosha hapo chini ya mgongo piga hilo dogo..!

hahahahaa...kifilio mm nimkuria cwezi kutia "l" hapo kati ntaweka "r" c balaaa...
okey ushauri wako umenipa mamizuka aise...sio mweupe ila mashallah anapumulia mbali huko nyuma aloo!
 
Ckuzote nasema dawa ya maji n maji. Akikutekenya nawe tekenya yeye. Ikishindikana mlete kwangu nitajua cha kumfanya.
 
Sidhani km hii kitu hujui maana yake mpk uiweke humu kufafanuliwa.
kwenye hii ofc mm ndio mdogo...
kuna maza cku hizi cmuelewi...
kila tukishikana mkono...
anaukwaruza kwaruza na kucha...
huku akicheka
damu yangu inakimbia chaaaaarrrr!!
ana maana gani??
na niitikie vip stimulus kama iyo aisee!..
 
kwenye hii ofc mm ndio mdogo...
kuna maza cku hizi cmuelewi...
kila tukishikana mkono...
anaukwaruza kwaruza na kucha...
huku akicheka
damu yangu inakimbia chaaaaarrrr!!
ana maana gani??
na niitikie vip stimulus kama iyo aisee!..

Nasema.......i want to know you...................
 
Kama damu inakimbia chaaaaarrrr!! au inaenda mbio, utaachaje kujua anachotaka nini? Mwombe machine uitekenye, acha utoto.

Back
Top Bottom