Mwaka 2015 Yemen imetoka kuchapana na hao vibaraka wa Wazungu tena sio Saudia peke yake ilikua ni coalition ya nchi 8 Saudia, UAE, Kuwait, Bahrain, Jordan, Qatar, Misri na Sudan tena wakisaidiwa na Marekani, UK, France, Israel na Canada.
Myemeni baada ya kuona hawa kenge wanataka kumzoea sana...