Houth washambulia meli ya Marekani na Cruise Missile

hahahahaha unazani ni rahisi kama unavyo Sema?

Yemen ni nchi masikini apo Middle East kurusha Ata kombola moja Saudia

Yemen itafutwa yote hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine zitabaki kelele za pray for Yemen tu
Mwaka 2015 Yemen imetoka kuchapana na hao vibaraka wa Wazungu tena sio Saudia peke yake ilikua ni coalition ya nchi 8 Saudia, UAE, Kuwait, Bahrain, Jordan, Qatar, Misri na Sudan tena wakisaidiwa na Marekani, UK, France, Israel na Canada.
Myemeni baada ya kuona hawa kenge wanataka kumzoea sana akaanza kutwanga visima vyao vya mafuta, wenyewe wakaomba mazungumzo ya Amani labda kama wewe ni mgeni wa siasa za mashariki ya kati ndio utawa under estimate hao Wahouth.

Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanajua kuropokwa tu bila kufuatilua mambo
 
Kwakifupi Yemen hawana chakupoteza hao Saudia na UAE ndio watakiona wakitia pua yao Yemen,,,jamaa wanapiga moja moja kwenye vitega uchumi wao kazi wanayo tutarajie bei mpya ya mafuta tu soon kikinuka
Jana usiku natizama habari CGTN wameonesha raia wa miji mikubwa Yemen wakiandamana Houthi wakiitaka Houthi ilipize kisasi dhidi ya mashambulio ya USA .
Inaonesha raia wanaikubali sana houthi.
 
Huu ndio unaitwa ushabiki maandazi, taani USA aipige Gaza Kwa maslahi Gani?
Unajua kama Israel analinda maslahi ya USA pale middle east?
Kuipiga Gaza ni kuidhoofisha Palestina na kutaka kuipanua Israel.
Uliwahi jiuliza Palestina ingekua nchi kamili na yenye jeshi kamili kingejiri nini kwa Israel alivyo hapendwi?
Na maslahi ya Usa middle east nani angeyalinda?
 
Hata Syria Ni nchi kamili ina jeshi kamili, ardhi yake milima ya Golan ipo chini ya Israel imefanya Nini?.
Bila kusahau Iran Ni nchi kamili ina jeshi pia ila imeiondoa Israel?..hiyo Palestine hata kama ingekuwa nchi kamili na jeshi kamili ingebaki kuwa Kama Lebanon tu.
 
Syria ni failed parted nation.
Kuna makundi ya washika silaha zaidi ya 14 na katika kila kundi limejimegea ardhi ndani ya Syria.
Mpakani na Turkiye pia Turkiye imemega ardhi ikisema inatanua wigo wa kujilinda dhidi ya Kurdish fighters.
Bashar Al assad amekua rais mkimbizi toka aanze fanyiwa mapinduzi.
Iran mpango wake sio kuifuta Israel bali mpango wake ni ustawi wa dola ya kishia middle east na hilo ni hatari kwa maslahi ya USA na wamagharibi.
2006 Lebanon kuiondoa IDF pale bint jubeir ilisaidiwa na Iran,Houthi kuipinga serikali iliyokataliwa na wananchi ambayo ilikua ikiungwa mkono na mataifa ya kiarabu ya kisunni na USA ilisaidiwa na Iran.
Pia Iran hiyo hiyo ilishafanya mashambulio mengi Iraq na Syria dhidi ya kambi za USA kupitia wana mgambo wake.
Nadhani hapo utakua umepata picha.
 
Saudia na UAE ndio nchi ambazo Marekani ana maslahi nazo makubwa ya kiuchumi kuliko nchi nyingine yoyote hapo mashariki ya kati na pia kote kuna Us Military base.
Hapo Houth hawatakiwi kujiuliza mara mbili ni kuanza kutwanga tu visima vyao vya mafuta wenyewe wataomba kusimamisha vita.
Houthi sasa hivi nguvu zao zote wanatakiwa wazielekeze Saudia.

Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
Kwa namna unavyopenda vita nashawishika kuamini kwamba ulikuwa Kamanda kule KIBITI
 
Sa we jiulize anapiga Yemen kwa maslaha gani? Yemen anazuia meli zinazo enda Israel ye America ni nani alazimishe ziende Israel .

Afu anaonyesha anaiogopa Yemen mpaa anakusanya nchi zingine. Kaogopa kwenda peke yake kasindikizwa na muingereza, Australia, South Korea, New Zeland, Baharain, Canada afu kuna wajinga hapa wanasema Yemen ana uwezo gani.

Ikiwa huyo America mnamkuza eti ni super power haoni hata aibu kusema kasaidiwa na hao wajinga.

Mimi naona hizo nchi zote zilizo shiriki watapewa dawa zao na Yemen red sea hakuna meli zao kupita.
Wee jamaa unanichekeshaga sana aisee.
 
We wacha story nyingi mwambie America mbona hakuna meli zilizoenda Israel? Pili hizi nchi ambazo zilisema zimenda tetea maslaha yao, wambie basi wapitishe Meli zao.

Wamepiga target zote alizo piga Saud Arabia yani hakuna kipya walicho fanya zaid ya kuwauwa askari watano tu wa Yemen.

Mwambie America aonyeshe target alizo piga
Watu kama wewe ndo mnafanya imani yenu idharauliwe.Utakuta wewe naye una watu wanakaa wanakusukiliza hahahahahahaha!Na wewe kwa baadhi ya watu unaonekana bonge la kichwa yaani.Kwa mtindo huu wafuasi wenu wakidharaulika unapandisha jazba
 
Waarabu kwa Mikwara ya kuongea hawajambo lakini kombora la tomahawk likitua wanaruka kanzu na kama wanakimbia nyuki .
 
Watu kama wewe ndo mnafanya imani yenu idharauliwe.Utakuta wewe naye una watu wanakaa wanakusukiliza hahahahahahaha!Na wewe kwa baadhi ya watu unaonekana bonge la kichwa yaani.Kwa mtindo huu wafuasi wenu wakidharaulika unapandisha jazba
wacha hizo tukiwambia Israel hana kitu mnajidai oh sijui taifa la Mungu 😄

Haya magazeti ya America wanajiabisha mwenyewe, kuwa America ana jeshi lipo Gaza linamsaidia Israel ni jeshi la anga afu linamuambia Israel apige wapi, na wanavikosi vinavyo chunguza viongozi wa Hamasi wapo wapi wala sio Israel kweli hi dunia damu ya watoto wachanga na watu wasio nahatia inawachanga sasa, wananza ropoka wenyewe

View: https://youtu.be/PjRfKpUXrgQ?si=EfJ46ngw5bgP7739
 
Hamna lolote Sadam hakukamatwa kama walivyo onyesha America, wanajeshi wa America wenyewe walikiri we baki una kula viazi asubuhi wenzako wanakula break fast heavy.
Kwa uongo Ni asili yenu sikushangai. Watu wameona amekamatwa anatia huruma
 
kwahiyo hamas wameshinda? hivi mkishiba ubwabwa kwanini mnaongeaka pumba ninyi?
Ndio wameshinda kwa mikakati yao kufanikiwa kwa kiasi ridhishi.
Mateka hawajaonekana,wanawachosha IDF na bado wanaonesha resistance.
Israel aliye deploy askari laki sita kupigana na wanamgambo elfu 20 kafikia wapi?
 
MPAKA LEO HAMJASEMA NI MELI GANI/IPI ILIYO LIPULIWA ZAIDI TU YA MANENO MEEENGI BILA SOURCE
 
Aaah kama hapa sawa

Cyprus nayo inatakiwa ipelekewe moto kwa kweli

Kila anaeshiriki kwanamna moja ama nyengine madhila dhidi ya wapalestine wa ghaza anatakiwa naye aonje uchungu wa anacho kifanya

Kati ya Hizbullah na houthi yupi yupo na nguvu kuliko mwenzake?
Akili bangi hizi wafuasi wa mungu feki Allah na malaya mwamedi
 
Back
Top Bottom