Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Goli mbili za fasta fasta daaa ...Daaah
Tusubiri 2nd half.
Ngapi ngapi mkuu?Goaaal
City 1- 0 Newcastle
Bernardo![]()
2-1Ngapi ngapi mkuu?
Mnyama sana huyu jamaa.KDB warming up...


Jamaa ni fundi sana. Mikimbio yake hatari tupu. Ligi imeisha mshindi city.Mnyama sana huyu jamaa.
Jamani mwenzenu kati ya game zilizonipa heart attack ni hii ya leo baada ya kukuta ubao unasoma Newcastle 2:1 Man city.nilitokwa jasho huku pana baridi kali ya mvua ilonyesha.

Mm nilibid niangalie kwnz AFCON ceremony kdg nipoze presha.