"Mtu mwenye akili akikuambia jambo la
kipumbavu wakati anajua una akili,
ukikubaliana nae anakudharau"-
Bwana Malihoja unataka tukubaliane nawewe ili utudharau??
Basi tusambazie hizo ambazo hazijafanyiwa "slow motion" ili tukubaliane na wew, vinginevyo tutaendelea kukubaliana na...
Usikrem kua ckuzote ni ndoto za Alinacha. Alinacha ashakufa zaman. Ni ndoto za Ng'wamapalala kuamin kua ccm haiwez kutoka madarakan(au kuamin kua Upinzan hawawez kuingia ikulu mwaka huu)
Mpendwa Mteja. Serikali imewaarifu wote wenye makampuni ya ving'amuzi kuongeza VAT kwa malipo ya vifurushi vya mwezi. Zuku poa itakuwa Tsh 15,500 kuanzia malipo yanayofuata. Mbaya zaid awa jamaa hawana channels za bure malipo yakiisha adi local channels wanakata
SIO AZAM TU. ZUKU AWA APA
Mpendwa Mteja. Serikali imewaarifu wote wenye makampuni ya ving'amuzi kuongeza VAT kwa malipo ya vifurushi vya mwezi. Zuku poa itakuwa Tsh 15,500 kuanzia malipo yanayofuata
MWANZO ZUKU POA ILIKUA TSH13,000
Mafuta ya taa kodi imepanda kutoka tsh50-150.
Mafuta ya petrol na disel tshs263-313.
Kwa bajet hii wananchi hasa vijijin ambako mafuta ya taa yana umuhim sn, wananchi wakielimishwa vzur bas ccm ata km wangemcmamisha mwalm hawana budi kutoka madarakan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.