Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

SIO AZAM TU. ZUKU AWA APA

Mpendwa Mteja. Serikali imewaarifu wote wenye makampuni ya ving'amuzi kuongeza VAT kwa malipo ya vifurushi vya mwezi. Zuku poa itakuwa Tsh 15,500 kuanzia malipo yanayofuata

MWANZO ZUKU POA ILIKUA TSH13,000
 
Ngoja nisubiri Zuku mwezi huu ntalipaje...

Mpendwa Mteja. Serikali imewaarifu wote wenye makampuni ya ving'amuzi kuongeza VAT kwa malipo ya vifurushi vya mwezi. Zuku poa itakuwa Tsh 15,500 kuanzia malipo yanayofuata. Mbaya zaid awa jamaa hawana channels za bure malipo yakiisha adi local channels wanakata
 
Kweli zuku huwa inabaki channel moja tu...i24 ya waisrael
 
kitendo cha kuanza kuongeza bei za vifurushi kwa kisingizio cha kodi kupanda mfano badala ya elfu kumi sasa ni 12,000/ elfu 15,000/ sasa elfu 20,000/ nk bei zinaanza julay
 
mkongo wa taifa utapungiza gharama !! pumbaafuu zao
 
kwa wale ambao wanatarajia kununua TV mpya nunueni za Samsung vingamuz tayali vimeshakuwa installed
 
Mi nakomaa na startimes sitaki kusikia hizo mbwembwe za kufuata mkumbo huku unapata stress kwa pesa yako. Tangu 2013 nifunge king'amuzi yao sijawahi lipia hata sh 1 na sijawahi kosa huduma. Hapa mujini ishi kwa akili sio mkumbo.
 
Back
Top Bottom