Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

Ninasali kanisa fulani hapa nchini,kijana akifikisha miaka 35
kwa mujibu wa katiba yao ya vijana inabidi aage kundi hilo
kwani anahesabika ni mtu mzima,na hata kama anaimba kwaya
anashauriwa ikiwezekana aahamie kwaya nyingine
zenye mchanganyiko wa rika tofauti ikiwa ni ishara ya kwamba
amevuka umri wa ujana.

Sasa wewe mwenye miaka 39,na kazi unayo ni muda muafaka wa kuoa.
kwa kuwa umeingia mapenzi na huyo dada ni heri umuoe tu yaishe
itakupa heshima sana.
 
Hata miaka 35 unatakiwa uone aibu kujiita kijana.

Wacha wewe Bulldog bwanaaa! angekuwa kijijini ndiyo lakini yupo mjini 39 bado kabisa.

Wazungu wanakwambia life begins at 50 kwa sababu pale ndiyo umemaliza kusomesha watoto wako na wameshaondoka nyumbani uko free. Sasa hiyo 39 hata hajaanza life kabisa.
 
Life begins at 30. Its when you should enjoy life. Ukisubiri 50 imekula kwako.
 
My dear kama wewe ni mume Wa MTU you have to stop.. Najua Roho Iradhi kuliko mwili but you have to win that battle by prayers hilo ni pepo tuu linalokusumbua ...kama unanayo nia ya kuacha but God will never hesitate to help you if you let Him in your heart... Nibarikiwa kwenda kwa Mahubiri ya Seminar Kuna mchungaji Fulani alihubiri mahubiri kuhusu Offices and Ndoa zetu akasisitiza kitu kimoja haswa kwa wanaume ..

Na kuwauliza kwa nini nyinyi wanaume wenzangu mnaajiri wanawake wazuri ofisini mwenu wakati mna wake wazuri at home.. Kwa wale wenye Private bossiness... Never hire a woman who is more beautiful than your wife .... and you have already did hire them Fire any woman who is more beautiful than your wife because the devil will try to use as excuse for you to go after her...Ukisikiliza juu juu wala hautaelewa but in deep there is the meaning for him to say that as a servant of God... Tunza Ndoa yako my dear huo no Wito na huduma ya Mungu ..

Good luck..Thanks..

I dont really appreciate when u say we have to fire or unhire ps just because the'r beautiful than our wives dats a wrong ideological from ur preacher
It means una imani dhaifu ambayo inakiri udhaifu hata kabla hujakutana na Jaribu

Kwa kutazamia kwa macho ya Rohoni tunatakiwa kuomba Roho mtakatifu atupe nguvu na ujasiri wa kushinda majaribu na si kunyima watu nafasi kisa tu tunaweza wataman na kutufanya tuanguke dhambini then if ur realy give ur life to Lord jesus Christ u have nothing to fear nor to escape cos u have king of fighter in u.

Mtoa mada Fanya uamuzi sahh wa kuomba Mungu akupe nguvu na ujasiri wakuondokana na hilo Jaribu maana bila yeye hakuna tuwezalo kwa uwezo wetu

Pili zuia na epuka ukaribu (mazooea) nae ambayo yanaweza kuwafanya mkaanguka dhambini eg kama kwenda huko wakati unajua yuko single
 
Kwa hapo mlipofikia nikama mshafanya tendo lenyewe. Itabidi umalizie la sivyo utakuwa uhasama ofisini. Ila kuwa makini kinachofuata usiruhusu akutoe kwenye msimamo wako wa kazi. Kama ikitokea akawa hakusikilizi na kutaka kuleta mambo ya kuharibu kazi basi unaweza mlkumuacha kiaina. Ila hiyo inabidi ibaki kuwa siri yako ingawa yeye huwezi mzuia kuongea.
 
Kijana wa makamo unashindwa kuwa na maamuzi.....! Yote yanayotokea kwako ni kwasababu umeyataka mwenyewe, simama as a reasonable man, usichokitaka kiseme na maanisha.......
 
Kijana wa makamo unashindwa kuwa na maamuzi.....! Yote yanayotokea kwako ni kwasababu umeyataka mwenyewe, simama as a reasonable man, usichokitaka kiseme na maanisha.......

Umenena...
 
Attachments

  • 1433696125492.jpg
    1433696125492.jpg
    24.2 KB · Views: 1,790
Ukitaka upoteze ufanisi wa kazi hapo ofisini basi wee fanya huo upuuzi, maana Ps ataanza kuchelewa makusudi ofisini akijua huna cha kufanya, na pia kudharau hata wafanyakazi wenzie kwa kibuli na jeuri Usiguseeee
 
mchunguze kwanza kama hana mume au mchumba au mtu alie zaa nae. km yupo atakusumbua sana.

Una mke??? Hapo mzee umemeza ndowano. Ukifurikuta tu ndo ndowano inazama zaidi. Tena ni PS? Una mamlaka ya kumbadili ofice? Ukimtema jiandaa kwenda matibabu India. Be serious hutadumu ktk ofisi hiyo nakwambia......
 
I dont really appreciate when u say we have to fire or unhire ps just because the'r beautiful than our wives dats a wrong ideological from ur preacher
It means una imani dhaifu ambayo inakiri udhaifu hata kabla hujakutana na Jaribu

Kwa kutazamia kwa macho ya Rohoni tunatakiwa kuomba Roho mtakatifu atupe nguvu na ujasiri wa kushinda majaribu na si kunyima watu nafasi kisa tu tunaweza wataman na kutufanya tuanguke dhambini then if ur realy give ur life to Lord jesus Christ u have nothing to fear nor to escape cos u have king of fighter in u.

Mtoa mada Fanya uamuzi sahh wa kuomba Mungu akupe nguvu na ujasiri wakuondokana na hilo Jaribu maana bila yeye hakuna tuwezalo kwa uwezo wetu

Pili zuia na epuka ukaribu (mazooea) nae ambayo yanaweza kuwafanya mkaanguka dhambini eg kama kwenda huko wakati unajua yuko single

Dear naomba usome my advice vizuru tena ... Sikumshauri amfukuze kazi PS.. Hii nimetoa Yale Preacher alichokisema ...Just reread my message again. And then remember majaribu mengine si ya kimungu Bali in tunajijaribu wenyewe. Thanks ..
 
rubii
Hebu pita huku mama.
I want to be that boss,
You to be that pretty secretary,
I wont let you go..
Come sweetie..
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anapenda kutumia hili neno pale hali inapoleta Sintofaham!Alipenda kusema!.....NO WAY...!Kwa hiyo hata ww Ni No way u can leave that girl Un-Done.
 
Back
Top Bottom