Adoe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 235
- 71
Kiingereza siyo lugha yetu hilo liko wazi, lakini watangazaji wetu wa radio na TVs hawafanyi juhudi zozote kufahamu jinsi ya kutamka majina ya timu, majina ya wachezaji pamoja na majina ya miji hasa ktk English Premier League ambayo si siri kuwa ni ligi inayoangaliwa dunia nzima.
Baadhi ya majina ya timu /vilabu yanayotamkwa ndivyo sivyo:
Tottenam Ozibag (Tottenham hotspurs)
Swanzea (Swansea)
inatamkwa: Swanzi
inaendelea...
Baadhi ya majina ya timu /vilabu yanayotamkwa ndivyo sivyo:
Tottenam Ozibag (Tottenham hotspurs)
Swanzea (Swansea)
inatamkwa: Swanzi
inaendelea...