Recent content by MGOME

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    Paulo Makonda alipashwa kuwemo!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    Kauli kama hizo siyo saizi yake kabisa! Awaachie kina Nape! Hakika Mzee sasa anatia huruma!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Diamond atembelea moja ya nyumba anazojenga

    Kijana kajitahidi!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkangara aingizwa mkenge 'kabang'

    Nilikuwa namshangaa sana Maulid Kitenge Na huyo mwenzake wanavyoshabikia hatua ya serikali! Mambo ya FIFA yanajulikana! Tenga si mbabaishaji hata kidogo wall si king'ang'anizi wa madaraka! Angeweza hata kugombea tena sababu FIFA wanamkubali lakini kwa uungwana wake ameamua kuwaachia wengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwakingwe ndio mtaalam wa Simba kutoa mlungula

    Kwa kweli mie uongozi wa mwenyekiti Rage sijui niuiteje? Ni mara mia uongozi wa kina Mzee Dalali walikuwa na hekima! Kuliko mbwembwe na utapeli wa hawa kazi kusingizia watu wengine kwa failures zao! Unadanganya watu unajenga kiwanja cha kisasa bila kuonyesha source of Funds! Halafu watu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naunga Mkono Simba kujitoa Ligi Kuu!

    Mimi ni mpenzi wa Simba na kusema ki ukweli yatubidi tujitafakari kwa manufaa ya club yetu badala ya kubisha kishabiki. Hawa watani wetu wanayosema ni ya kweli! Kiongozi wetu mkuu Ndg Rage nadiriki kusema ni tapeli tena wa kutupwa! Nipashe wameandika vizuri kabisa wala Tusijifanye wabishi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonya vijana wa upinzani na wengine mnaotaka kutuchagulai Viongozi UVCCM

    Kwa kweli hii haiingii akilini! Kama chama tawala mnaanza kulalamikia vyama vya upinzani Ambavyo kwa upande mwingine mnavidharau sisi wengine tutafanyaje? Yaani CDM wanainfluence katika uchaguzi wenu basi kweli CCM Kwisha kazi!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Abiria 15 wafariki ajalini musomal..saa 12:45 jioni

    Mie nilivyomuelewa mwandishi ni kwamba ajali imetokea jirani na Musoma along Musoma -Mwanza Road! Nadhani itakuwa hapa njia panda ya mwanzo ya njia (ya vumbi) ya kuelekea Butiama ukitokea Musoma mjini!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iliyokuwa Nyumbani Hotel Mwanza kufunguliwa tena

    Hiyo Hotel ni kitega uchumi cha NSSF Kama ilivyo JB Belmont hapa mkapa tower! Inasemekana mtu aliyekuwa Ana-operate Hotel hiyo kwa jina la Nyumbani Hotel alikuwa halipi pango (Kama ilivyokuwa kwa msomali wa Paradise hapo Mkapa tower) akiamini NSSF ni shirika la umma na kwamba si wafuatiliaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DC amkwida diwani katika chakula

    Aisee ni aibu isiyovumilika! Yaani mtu unapigwa tanganyika jeki halafu unakabidhiwa kwa policy? Hata kama ni chakula gani siwezi tena kula wala kuonekana tena ktk eneo Hilo! Labda tu kwa vile binadamu tunatofautiana! Nimewahi kumshuhudia mshkaji wangu mmoja na heshima zake kwenye bufee ya mnuso...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DC amkwida diwani katika chakula

    Aisee ni noma!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Channel 10 wametishwa na serikali kuhusu kipindi maalumu cha Mwangosi

    Yaani kitendo hicho kinazidi hata Yale masikitiko ya wale watu Wa kwenye tangazo la Airtel kwamba 'WAMEKATA' yaani mtu unaisubiri habari kwa hamu watu wanakata! Very unfair!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chadema badilikeni!

    Kwa kweli mafilili na wenzako mna roho ngumu! Yaani roho ya paka!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwa ni CHADEMA wameandamana bila kibali ingekuwaje?

    Mungu ni mwema! Na kila lililo na mwanzo lina mwisho wake! Kwa kweli ndugu zetu CHADEMA wananyanyasika!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hatari Mlima Kitonga!

    Hata vya zege mbona vinaibiwa! Nenda barabara ya Igunga-Nzega utashangaa mwenyewe! Wanaiba halafu wanabomoa zege kuchukua nondo zilizojengewa ndani ya zege kwa matumizi Yao! Chezea wabongo wewe?
Back
Top Bottom