Hatari Mlima Kitonga!

Hatari Mlima Kitonga!

Yaah! Hapo umeongea. Nimeona mhandisi aliyejenga barabara ya tabora- shinyanga-mwanza kaweka vya zege na vimedumu hadi leo. So nadhani itasaidia sana

Hata vya zege mbona vinaibiwa! Nenda barabara ya Igunga-Nzega utashangaa mwenyewe! Wanaiba halafu wanabomoa zege kuchukua nondo zilizojengewa ndani ya zege kwa matumizi Yao! Chezea wabongo wewe?
 
Back
Top Bottom