KABLYA YA KUDHALILISHWA TAYARI MHESHIMIWA DIWANI ALISHAJIDHALILISHA MWENYEWE! KWANI ANGEFATA UTARATIBU ANGEBADILIKA NINI?? MIMI SI SHABIKII SIASA WALA SI MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE ILA WHEN IT COMES TO " KUFUATA UTARATIBU" HUWA NAHESHIMU SANA.UKIENDA NYUMBANI KWA MTU UKIONA MWENYEWE ANAVUA VIATU MLANGONI INABIDI NA WEWE UVUE HATA KAMA SI KAWAIDA YAKO....HAPA SI SUALA LA UCHADEMA WALA UCCM, LETS BE OPEN MINDED...MAJITU YA NAMNA HII YAKIENDA NCHI ZA WATU NDO YANATIA AIBU HAYA. ON another side of the coin, pamoja na mheshimiwa diwani kukaid amri ya mkuu wa wilaya, mkuu wa wilaya angetumia busara kuwaomba watu wa usalama kumuomba mh. diwani afuate utaratibu kuliko kumpiga jeki hadharani kwani hiyo si kazi yake, ni kazi ya vyombo vya usalama...japo diwani alikosea lakini busara nayo ya kiungwana inabidi itumike kwa wale wasioonesha uungwana.