Mwakingwe ndio mtaalam wa Simba kutoa mlungula

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,026
10,673
Wakati kesi dhidi yake ya kutaka kumhonga golikipa wa Mtibwa Sugar Shaban Kado ikiwa haijulikani majaaliwa yake,Ulimboka Mwakingwe amehusishwa tena katika sakata ya kumshawishi beki wa Yanga Kelvin Yondani avute mshiko ili ausaini upya mkataba uliokuwa na makosa wa Simba ili aichanganye kamati ya Alex Mgongolwa kufikia maamuzi.Huyu jamaa ni hatari na jamaa wa Simba bado wanamtumia.

Chanzo:Magazeti ya 11/09/2012.
 
Kwa kweli mie uongozi wa mwenyekiti Rage sijui niuiteje? Ni mara mia uongozi wa kina Mzee Dalali walikuwa na hekima! Kuliko mbwembwe na utapeli wa hawa kazi kusingizia watu wengine kwa failures zao! Unadanganya watu unajenga kiwanja cha kisasa bila kuonyesha source of Funds! Halafu watu tunamuangalia tu! Unatuletea mambo ya uccm na ahadi za kudanganyia watu na kujisifu kwingii! Hopeless kabisa!.
 
Nakwambia Rage ni bure kabisa, na ndio anaipeleka timu kubaya.
 
waliyataka wenyewe...mtu kashanyea kidebe Segerea kwa kosa la kula mihela ya FAT, halafu mnaenda kumpa madaraka...bure kabisa

Na ndugu zangu wanatabora wakampa uheshimiwa,aibu kubwa.
 
Mimi nimepiga kelelee wee kuhusu huu uongozi wa watani zetu mpaka nikaamua kukaa kimya,kinyesi kipo barazani kwa jirani yangu mimi chanikerea nini,lkn nafarijika kuona kuna wana'simba sasa wameanza kushtuka
 
Kweli mkuu,nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom