Recent content by mgembebf

  1. M

    Natafuta kampuni ya kuniuzia korosho ghafi kwa ajili ya kuuza nje

    0712454905 & 0762328581 nicheki kwa namba hizo kama wataka korosho
  2. M

    Nauza mayai ya jumla

    Unaniletea nilipo hiyo bei
  3. M

    Anahitajika mpishi wa chakula na mtengenezaji wa chips

    0714890118 hii namba haipo hebu hakiki namba
  4. M

    Mihogo

    60,000 nicheki kwa simu 0712454905
  5. M

    Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    Or else ungeandika kwa kiswahili manake hiyo lugha uliyotumia kuandika barua gramma haiko sawa kabisa
  6. M

    Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    Zoom iko pouwa nilishaitwa Kwenye usaili via zoom sehemu tofauti tofauti Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Tagamenda pr school Iringa vijijini kuna mwalimu mmoja alikuwa anaitwa KARINGA yani shuleni unaripoti saa kumi na moja asubuhi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Odinga apinga matokeo, adai ni matokeo ya mashine sio Wakenya

    UHURU kwa kwenda Mbele, ingawa mm Ni TZ but UHURU ni jembeeeeeeeeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Acheni kuongea kilugha mbele ya mtu asiye wa kabila lenu, mnaboa

    Kweli aisee siku tano nilikuwa Bukoba! Full kihaya 24hrs iwe kanisani lazima katika mahubili wachanganye na kihaya! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Nahitaji mihogo iliyokaushwa kwa juwa au jina lingine makopa au udaga

    Mwenye nayo wadau tuwasiliane kwa namba hii namba 0762328581
  11. M

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Eneo la Sinza kwa Remmy nyumba kubwa! Master bedroom choo ndani, chumba cha wadada, chumba cha wakaka, sehemu ya jiko, Dinning, seating room, parking well faced with electricity face. BEI ni 1milion kwa mwezi. If you interested contact me.
  12. M

    Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Mwambie ulichokikuta kwa phone yake wala usimfiche wapo wengi sana you will get the right one! Otherwise utamaliza Chuo huku ukiwa na vyeti viwili cha UKIMWI na Cha CHUO CHAKO
Back
Top Bottom