Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 105
Habari za muda huu wakuu,
Naomba kujulishwa kama kuna athari zozote za kula ndizi kwa wingi kwa siku na pia kama kuna athari zozote za kunywa maji mengi kwa siku.
Mimi nina kawaida ya kula ndizi kumi(10) kwa siku na pia kila asubuhi huwa nakunywa maji lita moja,mchana lita mbili,Jioni lita moja na wakati wa kulala lita moja!sijui kama kuna madhara yoyote,hivyo kama yapo naomba kufahamishwa.
Asante