Anahitajika mpishi wa chakula na mtengenezaji wa chips

winchester

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
225
193
Habari,

Nahitaji mtu anayeweza kupika chakula kwa ajili ya mgahawa kama wali, pilau, ugali ndizi na vitafunio kama andazi, chapati na vitafunio vingine.

Pia anahitajika mkaangaji wa chips.

Pia kama mtu atahitaji naweza kumkodisha sehemu ya kupika chips au chakula, yeye akaja tu na viazi na kuanza kazi vifaa vyote atatumia vilivyopo . Eneo la biashara ni kubwa kuna sehemu ya bar , pia tunaonyesha mpira na kuna jiko pia.

Eneo ni kinondoni B Karibu na open university. Aliyetayari naomba anitafute kwa namba 0714890118.
 
Habari , Nahitaji mtu anayeweza kupika chakula kwa ajili ya mgahawa kama wali , pilau ,ugali ndizi na vitafunio kama andazi , chapati na vitafunio vingine.

Pia anahitajika mkaangaji wa chips.

Pia kama mtu atahitaji naweza kumkodisha sehemu ya kupika chips au chakula, yeye akaja tu na viazi na kuanza kazi vifaa vyote atatumia vilivyopo . Eneo la biashara ni kubwa kuna sehemu ya bar , pia tunaonyesha mpira na kuna jiko pia .

Mkuu sio vutafunio ni vitafunwa

Anyway kila lakheri
 
Ukipata uyo upishi hakikisha nawe unajua kupika hata kidogo
 
0714 890118 ni namba hewa mkuu.
Please check the number, and dial again.

Naletewa huo ujumbe.
 
Habari , Nahitaji mtu anayeweza kupika chakula kwa ajili ya mgahawa kama wali , pilau ,ugali ndizi na vitafunio kama andazi , chapati na vitafunio vingine.

Pia anahitajika mkaangaji wa chips.

Pia kama mtu atahitaji naweza kumkodisha sehemu ya kupika chips au chakula, yeye akaja tu na viazi na kuanza kazi vifaa vyote atatumia vilivyopo . Eneo la biashara ni kubwa kuna sehemu ya bar , pia tunaonyesha mpira na kuna jiko pia .
Eneo ni kinondoni B Karibu na open university. Aliyetayari naomba anitafute kwa namba 0714890118.

Sasa unakodisha vyombo na sehemu ya chips? Hiyo biashara ngumu maana utakua unakagua vyombo vyako kila dakika..bro kodisha tu sehemu usikodishe vyombo ili uwe huru na umpe uhuru mpangaji
 
Mkuu mpishi usha pata,, na vp kuhusu hiyo sehemu ya kukodisha, isha pata mtu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom