farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 369
Ningependa kujua bei y kiroba ya kilo mia Cha mihogo
andika vizuri ueleweke.upo mkoa gani?Ningependa kujua bei y kiroba ya kilo mia Cha mihogo
Tanga wapi35000 nipo tanga
Mzee baba hii ni bei ya muhogo mbichi au mkavu? na unaweza nunua kiasi gani?60,000 nicheki kwa simu 0712454905