Nauza mayai ya jumla

migeda

Member
Dec 29, 2013
29
2
Habari ndugu zangu nauza mayai ya kisasa shilingi 8800/= kwa tray. Kwa atakayehitaji anicheck WhatsApp/SMS kwa namba 0757969866.
 
Huyo Jumla ni ndege gani mkuu. Au ulimaanisha unauza mayai ambayo haujasema ni ya ndege gani kwa bei ya JUMLA!!!!!!

Hebu waTanzania tujifunze kuwa wabunifu kwenye biashara hasa tunapoingia kwenye ulimwengu wa viwanda, hatuwezi kusema na kutenda kizembezembe namna hii. Unapotafuta masoko weka taarifa basi zisaidie, walaji waweze kufanya uamuzi sahihi hata hamu ya kutaka kukupigia kujua zaidi achilia mbali kununua bidhaa yako.

Nilitegemea kukutana na taarifa hizi.
1. Mayai ya kuku wa kienyeji au Kuku wa Kisasa
2. Unapatikana wapi au mkoa gani
3. Namna ya watu kukufikia
4. Huduma unazotoa sambamba na mauzo. Mfano kama vile kumfikishia mteja hadi mahali alipo
5. Watu wa mikoani wanapataje huduma yako.
6. Mteja anaweza kupata hadi tray ngapi kwa siku akihitaji.
7. Ongezea na mawasiliano sasa kama ulivyoandika hapo juu.

Hebu tubadilike wajameni

CC. mgembebf , kilambimkwidu

Habari ndugu zangu nauza mayai ya kisasa sh.8800/= kwa tray,kwa atakaehitaji anicheck whatsapp/SMS kwa namba 0757969866.
 
Huyo Jumla ni ndege gani mkuu. Au ulimaanisha unauza mayai ambayo haujasema ni ya ndege gani kwa bei ya JUMLA!!!!!!

Hebu watanzania tujifunze kuwa wabunifu kwenye biashara hasa tunapoingia kwenye ulimwengu wa viwanda, hatuwezi kusema kwenda kizembezembe namna hii. Unapotafuta masoko weka taarifa basi za kusaidia walaji waweze kufanya uamuzi hata wa kukupigia kujua zaidi achilia mbali kununua bidhaa yako.

Mpunguze kutuchekesha wadau eti huyo jumla ni ndege gani!
Anyways nimetake note mkuu umenifunza kitu hapa.
 
Duh kisasa 8800??? Mbona kituko hayo yanauzwa 6000 tray
Labda ungesema ya Kienyeji ningejua umevunja bei
 
Habari ndugu zangu nauza mayai ya kisasa shilingi 8800/= kwa tray. Kwa atakayehitaji anicheck WhatsApp/SMS kwa namba 0757969866.
Acha kuzingua unataka kufanyabiashara au utapeli? Kama biashara na unaona itakulipa basi nahitaji tray 200 hadi mia 300 kwa elfu 6000/= hadi 7000/= kulingana na location zingatia hilo . Sometimes sio wajinga wanao peruzi mtandaoni kucheck fulsa . Bei ya 8,800/= unayosema ni bei ya muuzaji yule wa rejareja pengine ulimaanisha hivyo lkn co bei ya jumla hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom